Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Urithi kwa namna gani? Wanyama wanazaliana kila mwaka.Hahahaha wacha weee kwakuwa tunapata hela nyingi tuuze tuu urithi wetu hakika Mama ana upiga mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawauzwi wanyama waliopo kwenye hifadhi za taifa au mamlaka ya hifadhi (Ngorongoro) ila wanauzwa wanyama wa kwenye vitalu.
Unakumbuka sugu alisema kuna business anafanya na kinana?Kinana Kila siku yupo na Rais,hayo ndio matokeo
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ilikuwa imefungwa na kufuriMaza anaifungua nchi
Wanyama Huko Porini Wajipange Vizuri
Mama Anaifungua Nchi Sana Sana
Vinyonga Mguu Sawa Tayari Kupanda Ndege
Naamini Hii Ni Hatari
Wanyama wote wanaowindwa au kuuzwa kwenye lazima uwe na kibali, hao wa hifadhini hawaruhusiwi kuguswa.Acha ujinga, akitokea mtu akafanya hujuma kuibawanyama kwenye hifadhi utawatofautisha vipi???.
Ndege kubwa ya ujerumani imetua KIA! Hii itapunguza nguvu ya Royal Tour.
Wanyama waliopo hifadhini ni marufuku kuwindwa au kuuzwa
.....ila wa kwenye vitalu inaruhusiwa kwa kibali.
DuhUnaongea kutoka moyoni au utani
Nyama wanachukua na waliopo hai wanachukua vile vile ndiyo biashara hiyo.Sasa wakwenye vitalu hao wazungu walikuja nao? Kuuza ni kuuza tuu! Kwanini wasichukue nyama wanapeleka walio wazima?
Wanaenda nchi zingine sio lazima TzInaweza kufanyika cost benefit analysis kuona kama ina athari zozote japo watalii lazima waje huku kipindi cha baridi kule kwao.
Kinana anakusikia mkuuHuu ufara tutauvumilia mpaka lini ndugu zangu wana JF wazalendo?
Tuukemee
Sikuwahi kusikia hiyo MkuuUnakumbuka sugu alisema kuna business anafanya na kinana?
Boss kama wanyama wa kwenye vitalu wamezaliana Sana kiasi cha kusumbua wananchi Kuna ubaya gani kuwavuna kwa faida ?Ukisha ruhusu kusafirisha wanyama lazima ushuhudie ujangili wa kupindukia kwa visingizio vya kuwa walikuwepo kwenye vitalu...biashara ya kusafirisha wanyama kama ingelukuwa ina faida nyingi basi tungekuwa matajiri sana lakini kwakuwa kuna ujangili mkubwa basi
Usiwaze karibu,waza miaka mingi ijayo itakuaje?Wengi wanapinga kwa kigezo cha utalii bila kufanya utafiti wowote. Watalii huku lazima waje kwao kunapokuwa majira ya baridi au joto kali (middle east)
Inaweza kufanyika cost benefit analysis kuona kama ina athari zozote.
Kama kuuza kunaleta fedha za maana hakuna tatizo kama wanyama wapo wengi.
Ni kweli..ndio maana na sisi tunatangaza vivutio vyetu kwa nguvu ili kuvutia wageni wengi zaidi.Wanaenda nchi zingine sio lazima Tz
Unakumbuka sugu alisema kuna business anafanya na kinana?