Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Sasa hapo kwenye kuchagua inategemeana na namna tunavyojitangaza.Wanaenda nchi zingine sio lazima Tz
Una namba ya Kinana?Waje wasafirishe hawa tembo kwa kweli.Wamekua tishio hapa kijijini
Matangazo alafu vivutio unauza.Sasa hapo kwenye kuchagua inategemeana na namna tunavyojitangaza.
Ukipita miji mikubwa kule US kuna mabango kwenye treni yanayoitangaza Bahamas na matokeo yake nchi hiyo yenye watu karibu laki nne ilikuwa inapokea watalii kati ya milioni mbili na tatu kabla ya corona kuanza.
Inauma sanaMatangazo alafu vivutio unauza.
Kinana anapeta sasaInauma sana
Mbona tumeshakwambia wanaouzwa ni wale waliozidi? Halafu Bahamas hakuna wanyama na watu wanaenda.Matangazo alafu vivutio unauza.
Unatangaza utalii muda huohuo unauza vivutio.Ni kweli..ndio maana na sisi tunatangaza vivutio vyetu kwa nguvu ili kuvutia wageni wengi zaidi.
Mkuu hata hapo umeshindwa kuelewa wewe ni mtu gani?Boss kama wanyama wa kwenye vitalu wamezaliana Sana kiasi cha kusumbua wananchi Kuna ubaya gani kuwavuna kwa faida ?
Na wanavunwa kwa kibali sio kiholela
Mama anaupiga mwingi,sasa wewe unaona kuna shida gani kuuza wanyama? Kwani wanauzwa kiholela?We jamaa umekufa umeoza kwa mama samia[emoji23]
Wanauzwa wanyama sio vivutio, kuwa muelewa.Unatangaza utalii muda huohuo unauza vivutio.
Usijitoe ufahamuMkuu hata hapo umeshindwa kuelewa wewe ni mtu gani?
Kwani watalii huwa wanakuja kuangalia nini?Wanauzwa wanyama sio vivutio, kuwa muelewa.
Usijitoe ufahamu
Unataka kumpatia kandarasi?Una namba ya Kinana?
Wanalamba wanalambaNchi inafunguliwa wacheni watu walambe asali hauna cha kufanya cha msingi, tu watafute eneo kubwa wajenge Zoo ya kuhufadhi wanayama pori mbalimbali ili miaka ijayo watoto wetu wasiishie kusimuliwa, wawe wanawaona kwenye mazoo.
Mwingi unaendelea kupigwa.
Itapendeza na sisi tuonje kidogo kabla hawajaishia ughaibuniBora tuu serikali ingetoa fursa wawindaji wa ndani wakawinde then wawapelekee kitoweo watoto wao
Maana tushaambiwa njaa ipo karibu sasa si bora wenyeji tukatafute kitoweo kwenye mbuga zetu kuliko kuwapeleka ughaibuni?
Mmh si unaona hata sakata la ngorongoroIle trip ya maza uarabuni haya ndio matokeo ama!!! naomba nisahihishwa kama nitakuwa nimekosea
Washakula mlungula si uliona hata sakata la ngorongoroMacdm nayo yameshanunuliwa hakuna wa kusema kitu nchi ngumu sana hii