Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Yaan Serikali ya Magufuli ??? Itoe sh 250 million kwa mambo ya ujinga?

Waachane na kigogo wamalizie madaraja na barabara

Britannica
 
Yt
 

Attachments

  • VID-20191105-WA0036.mp4
    82.5 KB
Kwani ulisikia mwanamke katumika kumsaka?
 
Mbona alishamtwiti Lugola kitambo kama hana uwezo wa kumkamata! Aliweka kabisa na namba ya simu ili Lugola amtafute kupitia hiyo namba, na mpaka leo hatujapewa tena mrejesho.
Hahahaaa Lugola bwanaaa yaani vitu vidogo vya analojia vinamshinda ndio ataweza kweli kupambana na vitu vya dijitali vinvyohitaji akili kubwa? Tena kigogo akimuona sehemu yeyote anamwambia live lugola nakuona unakatisha hapa na gari lako au nakuona sasa unakunywa chai,yaani anafujo kweli kigogo na anajua hawawezi mdaka ,siku wakitoa tangazo la kumtafuta na yeye siku hiyo ndio anakaa online masaa 24 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€.
 
KAMA MKURUGENZI WA IDARA YA......MKOA WA....... NIONDOE HOFU KWA WATANZANIA KWAMBA KWA SASA TUKO SEHEMU NZURI KATIKA KUMFATILIA KIBARAKA WA MABEBERU KWA JINA LA KIGOGO.😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…