Hao hao uliowataja walaumiwe na hajaanzia kwa diwani toka mchungaji kapilimbaMkuu hata ukisema hiyo document awe nayo Diwani na Magu jamaa atainyakaa tuu sasa sijui hapo utamlaumu nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amepigwa chini ni uyo kazi aliyotumwa uko bunge la Africa hajaifanyaMkuu wapo Masele wawili na majina yanafanana, huyo wa kitengo siyo huyo aliyepigwa chini na kamati kuu ya CCM,
Lakini wote wameoigwa chini mbogwe yupo NicodemusWatu wanachanganya mada hapa, Masele wa kitengo ni yule aliekuwa mbunge wa jimbo la Mbogwe Geita huko na sio Masele huyu wa Shinyanga huyu ni raia tu
Hapana mkuuAu wewe ndio kigogo mwenyewe
Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaaBado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.
Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.
Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.
Aisee hii ni hatari kubwa kama nyaraka muhimu na za siri zinavuja na Kuanikwa hadharan hiv kweli,serikali inathibitisha haiwezi kabisa kuzuia hizi mambo za kigogo,idara inaonekana inafanya kazi kwa mazoea kabisa,,ila kwa kweli sikuwahi kujua kabisa kwamba masele ni kitengo
Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaa
Kangi chali #kigoho2014 bado yupo. Akiba ya maneno imemgharimu Kangi.Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.
Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?
---
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu anayejiita kigogo kupitia ukurasa wa Twitter.
Ametoa kauli hiyo leo Novemba 2, 2019 katika mkutano na wanahabari wakati akitoa tathimini ya hali ya usalama hapa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo amesema kuwa muda si mrefu polisi watamtia nguvuni mtu huyo.
"Kalenda inazo tarehe, utahesabu mwezi mfupi na mrefu, nataka niwaambie kwa kifupi siku za huyo Kigogo zinahesabika na hana siku nyingi", amesema Waziri Lugola.
🤣🤣🤣🤣.mkuu umekanusha haraka haraka bila kupoteza mudaHapana mkuu
Tunaemsema wa kitengo sio huyu ila ni Masele mwingine jamani watu wagumu kuelewa kweli😁😁😁😁Amepigwa chini ni uyo kazi aliyotumwa uko bunge la Africa hajaifanyaView attachment 1544484
Steven Masele na Stephen Masele ni mtu mmoja?Haa ha ...Kitengo kakatwaa chap!! Ndugai kamponzaa kashaachia ubunge kwenyw bunge la Africa Mashariki..!! Document za TISS kigogo anafungia maandazi hatari sana
Ni yake kweli au fake hii
We kweli kila.za hyo ni account nyingine after all ni Android obviously huyo mtumiaji anatumia alhaji techno
Ah wap sio kigogo huyu
Jana mwisho amepost, msichoamini nini?Hamna ukweli hapo wameedit
Language ya hizi post zake ni tofauti na zile za awali. Sidhani kama kweli ni KigogoJana mwisho amepost, msichoamini nini?
Mnatyakiwa muwe na avvount twitter, na mneke notificatiins, akipost tu muone!!
Yeah hapo cha msingi na mbolea ni kutafuta mole, otherwise hakuna kingine watakachofanikisha.Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaa
Mbona yupo?Twitter watakuwa wamempiga permanent ban sababu ya copy rights violations and posting confidential government material to the public lkn sidhani amekamatwa
Atakuwa ame switch tuLanguage ya hizi post zake ni tofauti na zile za awali. Sidhani kama kweli ni Kigogo