white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Hahaaaaa!! Magraduate wa IT, wa hapa?!!!!!Sidhani kwa hawa vijana wetu wakiTZ kama wanaweza hii project baadala yake watacompromise naye tu na kumpa utajiri na mwisho wake watatuambia wamemkamata... Waende pale kwa vijana wa Romania wanaweza kupata msaada kwa bei rahisi, project kama hizi wanaziweza..
Lakini pia inaweza kuwa assignment nzuri kwa graduates wetu wa IT kwenye vyuo vyetu wapewe hiyo deal kwa hata 200mil takwa liwe moja lazima watumie mtandao kumpata sio mbinu nyingine..
Umenena hapo mkuu wangesema tu dau lipo zuri alafu watupe kazi cjui kama ingechukua mdaSidhani kwa hawa vijana wetu wakiTZ kama wanaweza hii project baadala yake watacompromise naye tu na kumpa utajiri na mwisho wake watatuambia wamemkamata... Waende pale kwa vijana wa Romania wanaweza kupata msaada kwa bei rahisi, project kama hizi wanaziweza..
Lakini pia inaweza kuwa assignment nzuri kwa graduates wetu wa IT kwenye vyuo vyetu wapewe hiyo deal kwa hata 200mil takwa liwe moja lazima watumie mtandao kumpata sio mbinu nyingine..
Ujaluo ndiyo hoja !! Shule ulienda kusoma vitu gani ?!. Isijekuwa nabishana failure wa MMEM au MEMKWA !!Wewe mjaluo mbona unanifuatafuata? Wewe na Kigogo lenu wote moja lazima tuwanyooshe mwaka huu!!
Inaonekana ana kamradi fulani na uhakika wa kituHata mimi nimekuwa na wasiwasi nae tangu mwanzo wa uzi hadi mwisho yeye ni dau tu tena hataki chini ya mil 250 haaaaaahaaaaa
Mbona wewe umetaja usukuma mkuu au wewe ni kindergarden?Ujaluo ndiyo hoja !! Shule ulienda kusoma vitu gani ?!. Isijekuwa nabishana failure wa MMEM au MEMKWA !!
we umejuaje kwamba wametumia wadada???CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...
Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.
Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Bongo kunawamezaji wa Notes hatuna wataalamu wa IT the best way ni kutangaza dau watu waingie lindo warudi nae hakuna namna tena hapo.Hahaaaaa!! Magraduate wa IT, wa hapa?!!!!!
Hahaaaaa!! Magraduate wa IT, wa hapa?!!!!!
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.We jamaa unajua kutambua mambo
Hata mm niliamini ile Ni drill imefanywa na Kigogo kaingia kambani bila kujua .Kamtandao kake kanakompa taarifa kameingia mtegoni.
Ni vigumu Sana kushindana na Serikali makini
Umeongea vizuri mno. Maana lengo kuu lilikuwa kumjua mtoa taarifa za Ikulu kwa hilo walifanikiwa. Muda ukifika Hatutaona post za kigogo tena.Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
MaishaaaaaaaaaaUmeongea vizuri mno. Maana lengo kuu lilikuwa kumjua mtoa taarifa za Ikulu kwa hilo walifanikiwa. Muda ukifika Hatutaona post za kigogo tena.
Serikali ina mkono mrefu!Wangekua na uwezo huo wangeshamkamata kimya kimya, hizo kelele za Waziri ni ishara kuwa wameshindwa kumpata.
[emoji1][emoji1][emoji1].mjomba anataka atusue mapeneHata mimi nimekuwa na wasiwasi nae tangu mwanzo wa uzi hadi mwisho yeye ni dau tu tena hataki chini ya mil 250 haaaaaahaaaaa