Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaa.. kwa hiyo anafidia kwingine sio.. Ndo hulka ya binadamu, ukimbana upande mmoja atatafuta mahali pengine pa kumpa utulivuNilimwambia mdogo wangu wewe chukua watoto kike wapelekee moto mpka wachubuke . Form 5 Ana watoto 12, form 6 watoto 7,form 4 watoto 30
Kazi ya shetani ni kuharibuHii ni roho ya kishetani
Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasaToka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.
Hata wezi wamekosa pa kuibaHii awamu ni historia!
Watumishi wataikumbuka kwa mateso na adha waliopata.
Hakuna cha flai ova wala treni umeme zitakazo kumbukwa,zaidi ya umaskini wa kupindukia,kuporomoka kwa uwekezaji na mitaji.
Kwani sahivi vitu havipandi bei?Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.
Hapa ndio patamu, ni kama kipigo cha paka katika chumba ambacho kimefungwa madirisha na milango. Ni swala la muda tu paka atavumilia ila hali ikiwa mbaya atakachokufanya hutaamini.Hata wezi wamekosa pa kuiba
Kila sehemu pin control number ndo imemaliza kila kitu!!!
Mwambie huyoVitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa
Ila aliyeleta control Number ni Mwamba sana!!!Hapa ndio patamu, ni kama kipigo cha paka katika chumba ambacho kimefungwa madirisha na milango. Ni swala la muda tu paka atavumilia ila hali ikiwa mbaya atakachokufanya hutaamini.
bwana chatp anawaogopa wanajeshi na mapolisi watampindua huko wameongezewa mishahara ingawa wengi wao Elmu zao za hapanna pale wale walio pata machungu ya Shule ndio wanadhulumiwa.Nina mdogo wangu hapa ni mtumishi jeshini,anakula nchi tu na kila mwaka ananambia marupurupu yanaongezeka kwenye mshahara wake.Nyie mnao lalama ni watumishi wa nchi gani ili hali wenzenu wanafurahia neema za Mkulu.