Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

Nilimwambia mdogo wangu wewe chukua watoto kike wapelekee moto mpka wachubuke . Form 5 Ana watoto 12, form 6 watoto 7,form 4 watoto 30
Hahahahaa.. kwa hiyo anafidia kwingine sio.. Ndo hulka ya binadamu, ukimbana upande mmoja atatafuta mahali pengine pa kumpa utulivu
 
Kumbuka kwamba wanafanya uzalishaji na wanastahili kupata nyongeza ya mshahara. Hii ndo uchumi wa soko ulivo labda kama wewe ni mshamba.
 
Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza hivoo.
 
Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.
Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa
 
Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.
Kwani sahivi vitu havipandi bei?
 
Awapendi watumishi thus anawakomoa makusudi sababu ya hisia za chuki eti walimpigia kura Lowasa 2015.Hakuna mradi wowote utakaokamilika na kuleta tija hata aongezewe miaka 100.
Furaha yake ni kuona machozi ya watu.
 
Una akili na unawaza kama Rais wako Magufuli! Naamini na wewe utakuwa na PhD ya Maganda ya Korosho. Hongera sana kwa hilo.
 
Ni budi? Unaka kusema si budi au mimi ndiyo sielewi!
 
Nina mdogo wangu hapa ni mtumishi jeshini,anakula nchi tu na kila mwaka ananambia marupurupu yanaongezeka kwenye mshahara wake.Nyie mnao lalama ni watumishi wa nchi gani ili hali wenzenu wanafurahia neema za Mkulu.
 
bwana chatp anawaogopa wanajeshi na mapolisi watampindua huko wameongezewa mishahara ingawa wengi wao Elmu zao za hapanna pale wale walio pata machungu ya Shule ndio wanadhulumiwa.
 
Hii ni chamtoto sasa subiri mshahara upande utaniambia. Kwanza kodi lazima zupande, zaidii kila kitu kitakua juuu maradufuu.
 
Back
Top Bottom