Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Subiri kupanda maradufu pindi tuu itakapotokea mishahara imepanda bei. Maisha yako hayatobadilika, kisa mshahara mkubwaaa. Kikubwa nikwamba, mshahara wako huo mdogo upangilie hivohivoo. Sasa mshahara milioni moja mfano, matumizi milioni mbili kwa mwezii, bado utaendelea kulalamika tuuu.Vitu upanda bei sababu ya supply kuwa ndogo,na si kwa kupanda kwa mshahara.Mafuta, sukari,vifurushi,nk bei juu Hali mshahara haijapanda mwaka wa 6 sasa
Kuongezwa mshahara sio function ya watu kutokuwa na ajira, ... Kuongezwa mshahara ni function ya productivity ya mfanyakazi husika.Mnapenda kuongezewa mishahara huku wenzenu hawana ajira. Watu bhana
Kwa hiyo unabishana na wachumi au?Toka lini ukali wa maisha ukapunguzwa na nyongeza ya mshahara?? Subiri mishahara ipande utaona kila kitu kitapanda bei yake hata chumvi bei itakuwa juuuu. Mshahara hautoweza kubadilisha maisha yako kama unawaza ivoo.
Hii ni chamtoto sasa subiri mshahara upande utaniambia. Kwanza kodi lazima zupande, zaidii kila kitu kitakua juuu maradufuu.
Mi sio mswahili... Ila nilitaka kusema kwamba ni lazima serikali iongeze mshaharaNi budi? Unaka kusema si budi au mimi ndiyo sielewi!
Sawa ndugu inabidi iwe si budiMi sio mswahili... Ila nilitaka kusema kwamba ni lazima serikali iongeze mshahara
Hakuna mwana economics anayesema kupandisha mshahara ndo njia sahihi ya kuboresha maisha ya watu. Kama yupo atakua mwanauchumi kanjanja.Kwa hiyo unabishana na wachumi au?
Kupandisha mshahara ndo methodology ya kupunguza ukali wa maisha.. Usibishe tu kwasababu una bando la simu..
Huyo jamaa ni akili kubwa yani...Hamna wizi hata wa sh.100 hela zote zinaenda sehemu iliokusudiwaIla aliyeleta control Number ni Mwamba sana!!!
Usiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.Kuongezwa mshahara sio function ya watu kutokuwa na ajira, ... Kuongezwa mshahara ni function ya productivity ya mfanyakazi husika.
So ikiwa anazalisha basi ni haki aongezewe mshahara kama compensation ya yeye kuongeza uzalishaji..
Umenisikia wewe kilaza!!!
Una uhakika wizi haupo kwa sasa?! Pole sana, endelea kuota ndoto mchana huku ukipotezwa na hiyo control number.Hata wezi wamekosa pa kuiba
Kila sehemu pin control number ndo imemaliza kila kitu!!!
Unabisha mpaka unakera.. hii issue ipo kwenye welfare economics.. na ina relate moja kwa moja .. ni mambo gani yafanyika kama cost of living adjustment na moja wapo ni kuongeza mishahara ... Sasa sijui unabisha niniHakuna mwana economics anayesema kupandisha mshahara ndo njia sahihi ya kuboresha maisha ya watu. Kama yupo atakua mwanauchumi kanjanja.
Kuzalisha sio lazima iwe tangible goods.. hata service pia ni uzalishaji..usiwaweke walimu wa shule za serikali hapo maana hakuna wanacho zalisha huko mashuleni. Hivyo naikataa hiyo kanuni yako.
Saasa na business nayo kipindi hichi ni mateso ya jehanamu.. from real time experience hata mazingira ya biashara sio mazuri kipindi hiki na cashflow ipo tight sana..Ukitegemea mshahara umeishaa[emoji1696]
Alisema lakini sio haki na sio sahihi, kwa sababu hawa wafanyakazi wanazalisha kwa hiyo ni haki yao kupata nyongeza ya mshahara..Alisema hana mpango wa kuongeza mshahara hadi atakapo kamilisha miradi yake ya SGR, JNHPP and likes.
Mwisho wa siku watumishi wanastafu na kufa wakiwa maskini wa kutupwa. Refers formula ya Pension
Nazielewa ila naongea kwa sababu hasira zimenijaaPole Mtetezi. Unajuwa sifa za jiwe?
Na hata fraud na rushwa tutaziona sana huko mbeleni ikiwa hali ya maisha ya mfanyakazi itazidi kuwa tightUna uhakika wizi haupo kwa sasa?! Pole sana, endelea kuota ndoto mchana huku ukipotezwa na hiyo control number.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon haya maneno yako yatatimiaHapa ndio patamu, ni kama kipigo cha paka katika chumba ambacho kimefungwa madirisha na milango. Ni swala la muda tu paka atavumilia ila hali ikiwa mbaya atakachokufanya hutaamini.
Hatari sana. Tofauti ya zamani na sasa ni kuwa wezi wa sasa ni wachache (wazito wazito), ila wizi wao ni wa kiwango cha juu sanaNa hata fraud na rushwa tutaziona sana huko mbeleni ikiwa hali ya maisha ya mfanyakazi itazidi kuwa tight