Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Kumvunja mfupa mchezaji wa Simba mvunjaji anapata milioni tano ndiyo maana tunaona rafu za hatari sana wanachezewa wachezaji wa Simba.
 
Simba ndo wapumbavu,maana shinda game zako zote.
 
Ulitegemea kukutana ganda la ndizi kama ilivyokuwa desturi yenu ila sasa mambo yamekuwa magumu, mnatafuta sababu. Anza na Mo kwanza alivyokuwa mdhamini wa Namungo.
 
Fikra kama hizi za mleta post hazina afya kwa mpira wa miguu mahali popote. Inatakiwa wadau wa soka wahimize timu nyingi kwa kadiri iwezekanavyo zipate deals za udhamini kutoka makampuni mbalimbali.

Yaani tutamani kuona timu zinakuwa financially stable maana mpira bila pesa ya maana ndio yanatokea kama ya Biashara Utd na ushiriki wake kwenye kombe la shirikisho.

Kinachotokea sasa kwa mtazamo wangu ni kwa sababu timu zimeanza kujenga financial muscles hivyo hata wachezaji wa timu zinazochukuliwa kama ndogo zinakidhi kwa wakati mahitaji ya msingi ya wachezaji wao. Katika hali hiyo tegemea ushindani wa maana kwenye ligi.

Kwa kinachotokea kwa timu ya Simba ni matokeo ya uimara wa timu ndogo na kwa kiasi flani kushuka kwa utendaji wa idara ya kiungo na ushambuliaji. Kwa mtazamo wangu pia hapa ni:
1. Uchovu kwa baadhi ya wachezaji labda baada ya kutumika sana msimu uliopita. Labda squad management itasaidia hapa.
2. Usajili uliofanyika ni wa wachezaji wenye talent lakini siyo complete players wa kuchukua nafasi za walioondoka. With time wataingia kwenye kikosi cha kwanza na kuwa msaada kwa timu. Kwa sasa huwezi kuona zile pasi za kutawanya ukuta wa timu pinzani ili Boko au Kagere watupie kwa urahisi. Tutasifia mabeki wa timu pinzani sana hapa.
Hata hivyo Simba haiko vibaya. Nasisitiza haiko vibaya. Kumbuka haijaruhusu goli hata moja.

Yanga pia haipaswi kubweteka. Mechi pekee walioshinda with Authority mwanzo mwisho ni ya Azam. Kagera kipindi cha pili na Ruvu shooting kipindi cha kwanza kazi ilikuwa pevu.

Kwa kuhitimisha, hii ni ligi na msimu mpya. Kila timu imeboresh kikosi. Tuache visingizio hii mbungi inapigwa hadharani.
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Yanga GSM ni nani? Mleta mada use your common sense usiwe kama "wachambuzi" wetu.
 
Kinacho shangaza timu zikifungwa na Yanga dakika zozote wanaridhia na kupiga nao picha.
Zikifungwa na Simba zinaangua kilio cha msibani.
Namungo alifungwa dakika za majeruhi na Azam. Ilikuwa kawaida Tu.
Kwa Simba vilio vilio.
Kila mechi ya Simba lazima kuna Kadi nyekundu.
Kila mechi lazima mchezaji wa Simba aumie.
Hii ni hatari Sana.

Kama wanakikosi kizuri kama we anavyojitapa figisu ni za nini ?
 
Figisu zipi? Kama Yanga inahusika kwa kuwapa timu pinzani ili wawaachie basi hapo ndio itakuwa ni kosa na ile nadharia ya Yanga kuwa na kikosi imara itakuwa haipo. Ila kama Yanga inawapa motisha timu pinzani ili washinde au kutoa sare. Hapo ndio Simba itumie ubora wao kuonesha uwezo wao, kwahiyo nyie mmezoea kucheza kwa kuachiwa na vitimu vidogo vidogo?
 
futa huu ujinga
 
Ushabiki mwingine wa kipuuzi sana.
 
Mleta mada amepuyanga tu kama wale wachambuzi wa Clouds, hajaeleza ni kufungu gani cha Sheria kimevunjwa na kimevyunjwa na nani.
Dauda na wenzake badala wawawekee wasomaji wao kifungu cha Sheria wao wanaweka kipande cha gazeti.
 
Kwa hiyo na wale Jwanang Galaxy wa Botswana nao walipewa hela na hao GSM kwa siri ili wawakamie na mwisho wa siku wakapindua meza kibabe kwenye uwanja wenu wa nyumbani!
 
Aisee pamoja na hayo lakini mateke na karatee wanayopigwa wachezajj wa Simba ni hatari kwa maisha. Ike mechi dhidi ya Namungo kuna mchezaji wa Simba alipigwa teke la kichwa, kama lingempata barabara network ingekata, nashangaa jamaa hakula umeme.

Katika mechi 4 alizocheza Simba, wapinzani wao wamepigwa nyekundu 4! Hii ni aibu na fedheha kwa ligi yetu.

Vv
 
Mbumbumbu katika ubora wako. Kuna tofaut kati ya umiliki na udhamini. FIFA inakataza kumiliki vilabu viwili katika ligi moja sio udhamin

Wee mburula kweli! Kupitia huo mwanya wa udhamini ndio hayo madudu aliyosema mleta uzi yanafanyika...!! Na hilo linaonekana dhahiri!
Tukisema mashabiki wa utobolo ni mazwazwa kama wewe, uwe unakubali!
Kinachofanywa na hao jiesem ni uhuni, uliojificha nyuma ya udhamini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…