Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Mkuu kama utawawekea hapa hiyo taarifa ya hospital ya muhimbili nadhani itawaonesha uhalisia na madhara ya tatizo hili

Vinginevyo nawe utakua na dhana potofu kwamba "Kila mtu lazima awe na chogo, Na ikiwa hana basi ameponndwa kichwa utotoni"

Pia kumbuka kua huo ni urithi. IKIWA UPO KWENU HAUKIMBILIKI
NA
IKIWA HAUPO HUNA PAKUUPATA
Okay Mkuu, nikipata ithibati nitaweka hapa.
Ila ukisoma comments za waja , ni research tosha.

SEMA wa Africa Wanasiri nyingi zenye utamaduni wa hovyo, ambapo hawataki kuuengelea
 
Uongo. Huo si utamaduni wa Zanzibar. Ni nature tu kuwa wao hawana vichogo na Tanganyika wana vichogo.
Mkuu research imefanyika, , ni ukweli huu utamaduni wa kuwawekea watoto vitu kichwani ili kubanda,kuzuia, kugandamiza kichogo kisiendele kukuwa, Zanzibar bado unaendelea mpaka Kesho.
 
Ila binadamu ana haki ya huru ili muradi asivunje Sheria za Nchi
Kuna sheria za nchi na Kama sheria za nchi hazimfanyi Muislam kwenda kinyune na Uislam wake, Muislam anapaswa smaziheshim. Kama. Zinamfanya aende kinyume na Uislam wake hapaswi kuzifata.
 
Kuna sheria za nchi na Kama sheria za nchi hazimfanyi Muislam kwenda kinyune na Uislam wake, Muislam anapaswa smaziheshim. Kama. Zinamfanya aende kinyume na Uislam wake hapaswi kuzifata.
Okay sawa
 
Nyamichogo na mikomwe mmefikiwa, ila hii huondoka kadri anavyokuwa huwa kinarudi ndani
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Back
Top Bottom