Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yaani Serikali Tanzania ndio iadhimishe Land Rover na sio Waingereza, Wajerumani anagalau hata wahindi watakuwa na reasonable reason....; angalau ungesema Utamaduni Festival
Haya mambo hakuna sababu ya Serikali kuhusika moja kwa moja inaweza tu kutoa support na motisha..., mtu yoyote binafsi au kiongozi anaweza kufanya promo na kuwaunganisha wadau ili wafanye chochote wanachofanya...
Serikali / kodi zetu zijikite kwenye huduma zinazohusu jamii nzima i.e Nishati, Usafiri, Makazi, Afya, Banking na hata mawasiliano (in open market) vilevile badala ya kuhusika kwenye Festival ingehusika kwenye kusimamia Bandari (commanding Heights of Country Economy)