Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

Yaani Serikali Tanzania ndio iadhimishe Land Rover na sio Waingereza, Wajerumani anagalau hata wahindi watakuwa na reasonable reason....; angalau ungesema Utamaduni Festival

Haya mambo hakuna sababu ya Serikali kuhusika moja kwa moja inaweza tu kutoa support na motisha..., mtu yoyote binafsi au kiongozi anaweza kufanya promo na kuwaunganisha wadau ili wafanye chochote wanachofanya...

Serikali / kodi zetu zijikite kwenye huduma zinazohusu jamii nzima i.e Nishati, Usafiri, Makazi, Afya, Banking na hata mawasiliano (in open market) vilevile badala ya kuhusika kwenye Festival ingehusika kwenye kusimamia Bandari (commanding Heights of Country Economy)
 
Hili tukio la jana lilifurahiwa sana na watengenezaji wa magari haya maana walipewa free promotion bila hata kulipia Tangazo. Angalizo tu ni kwamba watengenezaji wa magari wengine wasije kulalamika kwamba serikali ina upendeleo wa wazi kwa gari za aina hii za Land rovers na ni anti competition. ni Angalizo tu... Mkuu wa mkoa aweke wazi kwamba hii Land rover festival haina uhusiano wa moja kwa moja na serikali, vinginevyo huko mbeleni ni mziki mtamu sana.

Like I said tunaweza kuona free promotion kumbe kuna kitu binafsi nyuma ya pazia! Kwa huyu jamaa sishangai haina tofauti na kuagiza makontena ya fenicha miaka ile
 
My brother inaonekana una shida ya ufahamu hujaona neno "huenda" nani anakujua kwa majina feki ya jf? Sikujui wala hunijui so cool down
Sahihi. Ila umenishangaza sana na upeo wako finyu.

Ni uhuru wangu tu wa maoni. Usikasirike.
 
Sahihi. Ila umenishangaza sana na upeo wako finyu.

Ni uhuru wangu tu wa maoni. Usikasirike.

Upeo wangu haukuhusu ila nimekushauri tu ujiongeze usijekuwa unatumika kupigia debe maslahi ya mtu ya gizani ukafikiri ni maslahi ya umma! Hulka ya huyu jamaa inajulikana miaka sasa. Ni hiyari yako kuchukua ushauri au kuacha. Kukasirishwa na post yako itakuwa ni matumizi mabaya ya hasira kaka
 
Ni kama mbwa anafurahia mifupa anasahau kuna mtu anakula minofu alafu baadae anamtupia mifupa

Jambo lolote analofanya makonda mara nyingi nyuma yake kuna madudu mengi jamaa ni opportunistic na anajua kucheza na audience sana ni manipulator mzuri sana

Serikali kutumia brand ya landrover inapata nini sababu isije ikawa mnaitangaza kampuni bure huo ni ujinga wa hali ya juu sana
 
Hii nchi, kazi ipo aise. Mungu wetu tunakuita uingilie kati sasa kwa maana ni wakati wa uweza na nguvu yako kudhihirika sasa baada ya wote kushindwa. Amina
 
Kuna mtalii atatoka Urusi kuja kushiriki nyumbu festival?

Gari Burundi tu hamuiuzi ndo mtu aje kutoka taifa la mbali kiasi hicho aje kushiriki?
Kwahiyo tuendelee kutukuza vya wazungu, nilifikiri una logic kumbe huna, unafikiri wazungu huko kwao hawazioni hizo land rover hadi waje kuziangalia Arusha.

Free land rover promotion.
 
Upeo wangu haukuhusu ila nimekushauri tu ujiongeze usijekuwa unatumika kupigia debe maslahi ya mtu ya gizani ukafikiri ni maslahi ya umma! Hulka ya huyu jamaa inajulikana miaka sasa. Ni hiyari yako kuchukua ushauri au kuacha. Kukasirishwa na post yako itakuwa ni matumizi mabaya ya hasira kaka
Hapo ndo tatizo lilipo.

Hatuwezi kwenda mbele kama kwenye kila jambo utalichukulia kwa negativity!

Sijatumika kupigia chapuo maslahi ya mtu ila nimelipenda wazo na kutokana na kupata mwitikio mkubwa kutoka kwa jamii nimeona kuwa ni wazo jema ambalo endapo likipata muendelezo mzuri litalisaidia taifa ikiwemo kutusaidia kupata mapato makubwa yatakayohakikisha mtoto wako anapata matibabu bora hospital

Labda umeanza kunifuatulia leo ila ninajulikana msimamo wangu humu. Situmiki na mtu.

Mimi nabeba wazo na kulichukulia kwa mtazamo unaopaswa na sio vinginevyo.
 
Kwahiyo tuendelee kutukuza vya wazungu, nilifikiri una logic kumbe huna, unafikiri wazungu huko kwao hawazioni hizo land rover hadi waje kuziangalia Arusha.
Unatukuzaje?

Hiyo ni akili mgando na finyu. Kama Festival inaweza kukufanya ukusanye watu kutoka mataifa ya nje ambao watakuongezea forex shida iko wapi?

Hujui hizo forex ndo zitatumika kwa maendeleo ya nchi yako?
 
Dubai unaifananisha na arusha
Miundombinu tu inafanya watu wavutiwe kwenda dubai
Mtalii anavutiwa na
Gharama za nchi husika
Miundombinu ya nchi
Huduma anazopata

Mtalii avutiwi na matamasha ya misururu ya magari huko kwao kuna formula one, dakar rally n.k
Dubai haikufika hapo kwa muujiza ila kwa kutumia akili na moja ya akili ni kuwafanya watu waitembelee.

Tukianza hapa kesho tutafanya lingine na target ni kuongeza mapato ya kutufanya tufanye makubwa zaidi.

Hii sio rocket science. Ni akili ya kawaida tu
 
Kwahiyo tuendelee kutukuza vya wazungu, nilifikiri una logic kumbe huna, unafikiri wazungu huko kwao hawazioni hizo land rover hadi waje kuziangalia Arusha.

Free land rover promotion.
Hii nchi inawajinga wengi sana
Mimi mwenye nimemuuliza mzungu aje kushangaa msafara wa landrover arusha amenipiga chenga ya mwili hajanijibu
 
Hii nchi inawajinga wengi sana
Mimi mwenye nimemuuliza mzungu aje kushangaa msafara wa landrover arusha amenipiga chenga ya mwili hajanijibu
Wale waliokuwepo jana na wakapanda magari walitoka sayari ya Mars au?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Dubai haikufika hapo kwa muujiza ila kwa kutumia akili na moja ya akili ni kuwafanya watu waitembelee.

Tukianza hapa kesho tutafanya lingine na target ni kuongeza mapato ya kutufanya tufanye makubwa zaidi.

Hii sio rocket science. Ni akili ya kawaida tu
Dubai wameboresha miundombinu ni pazuri panuvutia, kuna artificial island panakitu unique kinachomshawishi mtalii aende

Sasa wewe unafikiri mzungu aje kushangaa msafara wa landrover arusha kwan uko kwao hazipo
 
Unatukuzaje?

Hiyo ni akili mgando na finyu. Kama Festival inaweza kukufanya ukusanye watu kutoka mataifa ya nje ambao watakuongezea forex shida iko wapi?

Hujui hizo forex ndo zitatumika kwa maendeleo ya nchi yako?
Mwenye akili pana endelea kuwapigia debe wazungu wenye gari lao for free sijui hata wanakujua kwanza wanakuchekeni.
 
Makonda ana makalio makubwa
Si hata tu mama yako anayo lakini anaishia kupakwa baby care na wahuni wengine inawezekana hata baba yako wa kambo hayajui haya........siku nyingine usije kutuhadithia wahuni
 
Back
Top Bottom