Sasa wewe unaleta ujinga.Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.
Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.
TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.
Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Ni juha pekee ambae Kila siku anapiga kelele za derbyNi mjinga pekee ambae anaweza kusubiri ili aone the natural history of his challenge.
Huyo twiga kwenye avatar ana maarifa na akili kukuzidiDerby ni zaidi ya mpira
Chama cha majambaziTanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.
Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.
TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.
Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Una uhakika kuwa serikali Iko bize tu Gwajima? Kama hayo yangekuwa kweli majambazi si yangeshavunja chumbani kwako na kuondoka na mkeo kusikojulikana? Ungeweza kwenda kushitaki wapi? Uchochezii utakuweka matatani.Sasa wewe unaleta ujinga.
Serikali iko bize na Gwajimanaizesheni wewe unaipelekea Utopolo.
Serikali na mambo ya soka wapi na wapi?
Kwani CAS, chombo cha mwisho kabisa kwenye soka hakijawaambia. Viongozi wenu walishaambiwq, waulizeni.😎
Serikali hata kwa bahati mbaya haitakiwi kufumbia macho hili hata ikibidi mpira ufungiwe na FIFA. Aliyeahirisha derby dakila chache kabla wa muda wa mechi ni adui mkubwa sana wa taifa, alipaswa kukamatwa siku hiyohiyo kwa kosa la kuhatarisha usalama wa raia na mali zao. Mashabiki wa mpira wangeweza kuchoma na kuharibu mali, watu waliingia hasara kubwa ya mali na muda kutokana na kuahirisha mechi ghafla.Derby haihairishwi kizembe TFF na bodi walitaka kutapeli mashabiki. Hii liwe funzo kubwa kwao
TCRA isaidie tupate mawasilia ya wajumbe wa bodi wote, Karia, Magori, Mangungu kuanzia tarehe 3 March hadi tarehe 8 March 2025 tuone wamekuwa wakipanga nn na kama walipata maagizo kutoka viongozi wa serikali wakiagiza chochote kuhusu kuahirisha derby.Kama wataalamu kwa idhini ya Serikali watafuatilia mawasiliano ya Wallec Karia, Wilfred Kidau na Mguto kuanzia Simba walipo toa msimamo usiku wa tarehe 7 wafuatilie mpaka saa 6 asubuhi ya tarehe 8 watapata mtu aliye toa maamuzi ya ku ghairisha mechi kabla ya kikao cha bodi.
Kile kikao wakati kinaenda kuanza tayari Kuna watu walisha penyezewa maamuzi ya mchezo ku ghairishwa kabla ya mechi kuanza.
Maana yake Kuna maelekezo ya maamuzi ya kuzuia mechi.
Baada ya pale zimekua zikitoka kauli za ki mazingaombwe kutoka Tff/ bodi ya ligi.
Tukumbuke, Naibu waziri mwana FA, Karia na Mguto ao wote ni watu wa Tanga kwasasa Wana bebana.
Yote hayo ya nn? Yanga hawacheziKama wataalamu kwa idhini ya Serikali watafuatilia mawasiliano ya Wallec Karia, Wilfred Kidau na Mguto kuanzia Simba walipo toa msimamo usiku wa tarehe 7 wafuatilie mpaka saa 6 asubuhi ya tarehe 8 watapata mtu aliye toa maamuzi ya ku ghairisha mechi kabla ya kikao cha bodi.
Kile kikao wakati kinaenda kuanza tayari Kuna watu walisha penyezewa maamuzi ya mchezo ku ghairishwa kabla ya mechi kuanza.
Maana yake Kuna maelekezo ya maamuzi ya kuzuia mechi.
Baada ya pale zimekua zikitoka kauli za ki mazingaombwe kutoka Tff/ bodi ya ligi.
Tukumbuke, Naibu waziri mwana FA, Karia na Mguto ao wote ni watu wa Tanga kwasasa Wana bebana.
Itatusidia kwa mengi, unaweza Kuta ata izi kelele za marefa kuharibu mechi ao jamaa zina wahusu.Yote hayo ya nn? Yanga hawachezi
Michezo ni uchumi, furaha na usalama wa nchi, kama technology serikali haiwezi kunyamaza kimya kabisa katika kuboresha. Kama hakuna Simba na Yanga kwa pamoja kwa wakati mmoja hakuna wawekezaji wataweka fedha zao kwenye timu yooooyoooote ya mpira hapa nchini. Maana hata yule anaeidhamini timu ndogo kama JKT au Kagera sugar anatarajia kupata faida pale timu hiyo itakapocheza na Simba au Yanga.Itatusidia kwa mengi, unaweza Kuta ata izi kelele za marefa kuharibu mechi ao jamaa zina wahusu.
Uu ni mtandao ambao kama auja haribiwa Bado kutakua na shida uko mbele.