Sio kwa mashabiki tu bali hata kwa wadhamini wa ligi, NBC, Azam media na TBC pamoja na wafanyabiashara ambao walijiandaa kuuza siku ya mechi. Sasa Azam anaogopa kufanya matangazo ya mechi ya trh 15 June, maana hana uhakika kama mechi itakuwepo. Hata mashabiki hawana tena uhakika na mechi za Simba na Yanga.Kuahirisha derby ilikuwa ni dharau kubwa Kwa mashabiki. walituona sisi ni takataka, hatuwezi kufanya lolote. Ili kurejesha heshima ya mashabiki, hyo derby haipaswi kuchezwa tena
Utajijuuu. 😂😂😂😂Toa vedio ya hao mabaunsa tuone walivyomudu kuwazuia Simba wasiingie. Je, mabaunsa hao walikuwa na silaha Gani? Na je, uwanja wa serikali unalindwa na mabaunsa wa Yanga? Uharo
Wasap Ina security kubwa, hawawezi kutrack maongezi, picha, vudeo Wala message. Hata watumishi wa serikali Dili wanaongelea wasap,Kumbe TCRA kwenye WhatsApp hawagusi kabisaa? Ahsante kwa kunisanua.
Oooh bas sawaa, ahsanteee.Wasap Ina security kubwa, hawawezi kutrack maongezi, picha, vudeo Wala message. Hata watumishi wa serikali Dili wanaongelea wasap,
Jambo kama hilo wamepigiana cm bhana tusijifariji kuwa walitumia WhatsApp kwenye mipangoovu yao. TCRA waombwe watoe conversations ya kilichotokea.Wasap Ina security kubwa, hawawezi kutrack maongezi, picha, vudeo Wala message. Hata watumishi wa serikali Dili wanaongelea wasap,
Viongozi wengi wa kitanzania ni wapumbavu sana. Akisha kuwa na madaraka, huchukulia kuwa yukp juu ya kila kitu na anaweza kujiamlia lolote. Tatazio lilianzia kwenye sentiment huyo.Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.
Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.
TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.
Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Kakaaa!!! Kutokana na idadi na aina ya wadau wa Simba na Yanga Anaeweza kusogeza muda wa mechi ya derby ya simba na Yanga hata kwa saa Moja tu mbele ni kigogo kwelikweli, haiwezi kuwa bodi ya ligi tu hata kwa bahati mbaya.Viongozi wengi wa kitanzania ni wapumbavu sana. Akisha kuwa na madaraka, huchukulia kuwa yukp juu ya kila kitu na anaweza kujiamlia lolote. Tatazio lilianzia kwenye sentiment huyo.
Banghe ndiyo hii ya kwako kama hujui. Uwanja wa Mkapa ni mali serikali ya Tanzania, umejengwa, kukarabatiwa na kulindwa na serikali yenyewe, na hata vibali vya matumizi na namna ya kuutumia vinatolewa na serikali. Ni baunsa gani ana nguvu zaidi ya zile za serikali? Acheni kutoa hoja za kipuuzi kwenye jambo lililoaffect watu wengi sana.Derby ilihairishwa na Bodi ya ligi, sababu ni Yanga kutumia wavuta bange wao kuzuia timu bora ya Simba Sports Club wasijiandae na mchezo.
Tarehe 15 mlete timu, visingizio vya kijinga hatutaki
Mlivyo hairisha kisa mabadiliko ya muda mmesahau?? Au kwa sasa nan amesababisha derby isiwepo? Haya turud kwa CAS kwan waliwaambia nin?Derby haihairishwi kizembe TFF na bodi walitaka kutapeli mashabiki. Hii liwe funzo kubwa kwao
Hadi wanangu wanauliza Baba huyu derby ni nani mbona anasumbua Sana watuDerby ni zaidi ya mpira
Narudia hatuchezi Simba wapewe point zao 3 na magoli, yanga tumekubali kushindwa nani ahangaike na mpanzu sahii Aziz k kaondokaHatuchezi hatucheziii
Simba wanaomba Mungu Yanga isipekeke timu siku iyo waambulie chochote kitu. Kutoka treble hadi zero.Narudia hatuchezi Simba wapewe point zao 3 na magoli, yanga tumekubali kushindwa nani ahangaike na mpanzu sahii Aziz k kaondoka
Mlivyo hairisha kisa mabadiliko ya muda mmesahau?? Au kwa sasa nan amesababisha derby isiwepo? Haya turud kwa CAS kwan waliwaambia nin?
Sema mnaleta chokochoko kwa tff sababu mnaona mnawamudu, lakin kimataifa hamjawah kuwa na historia yabkushinda case yoyote.
Hivyo msipende kuonekana akili hazimo kweli, kataa neno nyuma mwiko kataa neno utopole.
Mechi ingechezwa Lissu asingesikilizwa.Chanzo cha haya yote ni ccm kupitia TISS. Itakumbukwa mechi ilipoahirishwa mama alikuwa mwanza lisu alikuwa mlimani City kutangaza no reforms no election.
Mechi iliahirishwaa kufanya lisu asisikilizwe.
Ccm ni chama cha wapumbavu sana