Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

Umajua Nini Kuhusu Sheria za Mpira Na FIFA ?
Hivi serkali ishuvhulikie Maswal ya Mpira Mnataka Mle Stop ya Kujihusisha na Mpira Kutoka FIFA?

Au unafikiri Haya ni Maamuzi yanayoamuriwa Tu
 
Serikali imeahasema haiingilii michezo lakini bado mnaing'ang'ania
Bodi ya ligi imetaja sababu ya kuahirisha Derby ilikuwa ukosefu wa usalama na rushwa. Hapa maana yake imeguswa serikali ambayo inahusika na usalama wa raia na mali zao na rushwa (TAKUKURU). Serikali inapokuwa kimya wakati imehusishwa huo Kuna wanaomzunguu mama wanaomzunguuka yeye pia.
 
Umajua Nini Kuhusu Sheria za Mpira Na FIFA ?
Hivi serkali ishuvhulikie Maswal ya Mpira Mnataka Mle Stop ya Kujihusisha na Mpira Kutoka FIFA?

Au unafikiri Haya ni Maamuzi yanayoamuriwa Tu
Mbona rage na Malinzi walitiwaga korokoroni kwa mambo ya mpira, kwanini Hawa wanaovuruga mpira wasitiwe korokoroni pia.
 
Mbona rage na Malinzi walitiwaga korokoroni kwa mambo ya mpira, kwanini Hawa wanaovuruga mpira wasitiwe korokoroni pia.
kuna sheria za FIFA zinazokataza serikali au vyombo vya kisiasa kuingilia masuala ya soka ya nchi wanachama. Sheria hii imo kwenye Katiba ya FIFA (FIFA Statutes), ambayo ni mwongozo mkuu wa utawala wa mpira wa miguu duniani.

Kifungu cha 14 (Member Associations’ Obligations)

Kifungu hiki kinasema kuwa:

“Member associations shall manage their affairs independently and ensure that their own affairs are not influenced by any third parties.”

Kwa Kiswahili:

“Mashirikisho wanachama lazima yasimamie shughuli zao kwa uhuru na kuhakikisha kuwa shughuli zao haziingiliwi na watu wa tatu (third parties), ikiwemo serikali.”



Kifungu cha 19 (Independence of Member Associations and Their Bodies)

Kinasisitiza:

“Each member association shall manage its affairs independently and without undue influence from third parties.”



Maana ya “Third Parties”:
  • Serikali
  • Vyama vya siasa
  • Mashirika ya nje yasiyo ya soka
Adhabu kwa Ukiukaji:
  • FIFA inaweza kuchukua hatua zifuatazo endapo itaona kuna kuingiliwa na serikali:
  • Kusimamisha (suspension) shirikisho la soka la nchi hiyo
  • Kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa kama Kombe la Dunia, AFCON, nk.
  • Kuzuia msaada wa kifedha au kiufundi kutoka FIFA


Nakuoa Mifano Halisi sas
  • Kenya (2022): FKF ilisimamishwa na FIFA baada ya serikali kuivunja bodi ya soka.
  • Zimbabwe (2022): Ilisimamishwa kwa sababu kama hiyo.
  • Nigeria, Ghana, Cameroon – nchi hizi pia ziliwahi kupewa onyo au kusimamishwa kwa muda.
UMenielewa Sasa
 
Wakati wakina Malinzi, Richard wambura na rage wanahukumiwa na third part, FIFA haikuwa na vifungu hivyo?

Rushwa na usalama wa raia sio mambo ya FIFA, mahakama za kiraia ndizo zenye uwezo wa kuhusika navyo
 
Ni karia.
 
Tuletee report ya CAS inayosema sababu ya mechi kuahilishwa
Bodi ya Ligi na TFF wamegoma kutoa ripoti ya uchunguzi eti wao siyo chombo cha uchunguzi hata hivyo wako sahihi wanawezaje kujichinguza wenyewe kwa maamuzi mabovu vile vile ni sawa na kutegemea matokeo kwenye jambo unalo lijua, (expecting results from what you know)

Bodi ya ligi walijchanganya wenyewe kwa kutoa kauli mbili ya kwanza asubuhi saa 4 iliyosema mchezo uko pale pale lakini saa 8 mchana wakaja na taarifa nyingine kwamba mchezo (manyoya), pruruuu

Bodi ya ligi wapo pale kama sanamu, (figure heads),

Public figures have to keep their words

Viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze ama wachunge kauli zao.

Himisho changamoto zinatakiwa zitatuliwe kwa wakati na Kwa majibu sahihi,

Challenges and problems around us need proper solutions at desired time
 
Serikali imeahasema haiingilii michezo lakini bado mnaing'ang'ania
Kama ilijaribu kuingilia maamuzi ya CAF mechi kuchezwa New Amani Complex (NAC) itashindwa kuingilia maamuzi ya bodi ya ligi/TFF?

Hawa ndiyo wale waliomtisha mama kuwa kama hatutawapa Simba ndege ya kwenda Morocco "kama Yanga" tutakosa kura.
 
Subirini tuone litakuwa funzo kwa nani
Almasi Kasongo amemtaja kigogo wa serikali aliyesababisha tafrani hii yote. Wenye akili tulijua tu bodi ya ligi haiwezi kuahirisha mechi yenye maslahi ya taifa kwa njia ile. Wanaomzunguuka mama wanamzunguuka. Awe makini.
 
Almasi Kasongo amemtaja kigogo wa serikali aliyesababisha tafrani hii yote. Wenye akili tulijua tu bodi ya ligi haiwezi kuahirisha mechi yenye maslahi ya taifa kwa njia ile. Wanaomzunguuka mama wanamzunguuka. Awe makini.
Na watatajana hadharani tu. Huyo mtu aseme ana maslahi na Simba au Yanga? Maana Yanga walikuwa tayari kwa mchezo, inamaana huo ni mpango wa Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…