Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

FIFA imeagiza serikali isiingilie masuala ya mpira wa miguu
 
Na watatajana hadharani tu. Huyo mtu aseme ana maslahi na Simba au Yanga? Maana Yanga walikuwa tayari kwa mchezo, inamaana huo ni mpango wa Simba SC
Baada ya Simba kuona hali yao ni ngumu kucheza mechi walimfahamisha huyu kigogo, nae Alipiga simu getini wasifungue heti na kuwaambia Simba waondoke haraka maeneo ya kiwanja kisha waandike barua usiku huohuo kwa bodi ya Ligi, huku tayari ameshapanga na uongozi wa bodi kupitia TFF wakubali ombi la Simba na kuahirisha mechi. Huyu hafai kuwa hata mtendaji wa Kijiji.
 
Picha yake kama inakuja inarudi.
 
Picha yake kama inakuja inarudi.
Uwanja wa serikali haiwezekani meneja wa uwanja, bodi ya ligi, TFF, BMT, Waziri wa michezo, Kamanda wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani wote washindwe kufungua geti Simba waingie uwanjani. Bila shaka Kuna mtu mkubwa zaidi ya Hawa ambae amezuia wote Hawa washindwe kufungua geti. Ni nani huyo? Inatisha na kuogopesha.
 
Serikali haiwezi ikasikikiza porojo za tulioambiwa wenye akili wawili tu, umekwenda CAS, wametoa maamuzi ya kurudi ndani, bodi ikatangaza tarehe.

Toeni mwiko nyuma huo ili mtoe hewa chafu akili zikae sawa
 
Serikali haiwezi ikasikikiza porojo za tulioambiwa wenye akili wawili tu, umekwenda CAS, wametoa maamuzi ya kurudi ndani, bodi ikatangaza tarehe.

Toeni mwiko nyuma huo ili mtoe hewa chafu akili zikae sawa
Kaa kwa kutulia, kama ingekuwa rahisi bodi ya ligi isingewaita Yanga kusema nao. Huko ni kuwabembeleza wacheze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…