DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Basi ulibahatika kupata gari zuri

Kipindi cha nyuma yard za magari zilipokuwa zinaanza wajapan walikuwa wanashirikiana na wabongo
Kuziuza gari nyingi zilikuwa safi,hazina matatizo

Ila walipoingia wapakistan shida magumashi ikaanza

Ova
 
Mimi nilivyosikia ile habari ya kuleta car Inspection hapa TZ nilisikitika sana kwani nawajua watu wangu...
Bora Inspection irudishwe huko kwa wazungu wakague wenyewe; wenzetu wapo very serious na wakweli...
 
Mimi nilivyosikia ile habari ya kuleta car Inspection hapa TZ nilisikitika sana kwani nawajua watu wangu...
Bora Inspection irudishwe huko kwa wazungu wakague wenyewe; wenzetu wapo very serious na wakweli...
Ndilo wazo langu hilo
 
Achana kununua gari kwa kilomita wewe, angalia physicaly kama ni zima na linakuvutia beba. Hizo kilometa ni mbwembwe tuu. Kuna magari Yana zaidi ya miaka 30 na yanamfanya kazi ngumu mchana na usiku na yapo bomba yanapeta tuu
 
Duuuh !!
 
Tatizo angeweza kukataa hiyo pesa kama jamii yetu ingekuwa imefunzwa hivyo, lakini bahati mbaya kwetu, hata kama yeye angeikataa, bado hao unaotaka awapelekee hiyo kesi wangeweza kula hiyo pesa na mambo yaishie hapo, wacha kila mtu ale kwa urefu ya kamba yake.
 
Kungekuwa na kampeni kubwa kuhusu hili na mengine kama haya kuanzia chini, hata hao wa juu wangeogopa.

Sasa hivi huko ju hawaogopi kwa sababu washaona hii ni tabia ya Watanzania kama wote tu.

Na hapo ndipo Watanzania wengi wanakosa uhalali wa kuilaumu serikali.

Unailaumu serikali wakati ushafanya sehemu yako.

Sasa huyu mleta mada rushwa anataka kula, na serikali anataka kuilaumu hapo hapo?
 
Tuwaonbe Serikali wapunguze Kodi tuburudike na gari za Ukweli ukiwasha mapumziko Kagera huko hata ajali yake inakua haina madhara sana sio hizi biscuits zetu ajali kidogo tuu inakutoa Roho gari halina hata Kinga yeyote kwa walio ndani...
 

Attachments

  • IMG-20221020-WA0141.jpg
    88.4 KB · Views: 14
Kurudisha Odometer sio zoezi la saa moja. Ni zoezi la muda kidogo.

Jan Motors wao hawa gari zao utaikuta kama ilivyo na bei zao ziko chini, hivyo watu huenda kwao wananunua afu wanaenda uza tena
Hivi hawa jamaa hawana longolongo?
 
Hayo magari ya showrooms za kibongo kagueni hadi uvunguni.

Jamaa yangu kauziwa gari limechomelewa mara mbili hilo bomba la exhaust!

Mwanzoni na kwenye masega, halina nguvu,linachelewa kuchanganya na fuel consumption siyo ya gari la aina hiyo ila muungurumo hauna shida.
 
Jamaa yangù alikuja Dar kununua gari, akapelekwa kwenye hizo yard, akanunua Toyota Hiace akafanyie biashara Kigoma.

walipofika tu Dodoma, engine imechanganya oil 🛢 na maji 💦
 
Siku nyingine ukipiga picha, isave(ifiche) sehemu nyingine ili hata kama wakija kukuambia ifute na ushapata chako. utakuwa na risiti(picha) kwa matumizi ya baadae kama sasa ulivyotujuza hapa.

Nimejifunza jambo, kuchukua risiti(kielelezo) ni muhimu sana.
 
Ulichonifurahisha sana kabisa ni ile dhana ya kula kwa urefu wa kamba yako. Kama usingeichukua hiyo hela wangekudhuru na ndivyo ilivyomtokea hata Dkt Magufuli enzi zile kukataa rushwa kwenye ujenzi wakampatia sumu ili wamuue.
 
Ile maana ya mjini shule shamba darasa.Utajiri wa wenzio ni wake kamwe usiutamani,kwani anaweza kuwa sio tajiri ila jambazi 😂😂
 
Ulichonifurahisha sana kabisa ni ile dhana ya kula kwa urefu wa kamba yako. Kama usingeichukua hiyo hela wangekudhuru na ndivyo ilivyomtokea hata Dkt Magufuli enzi zile kukataa rushwa kwenye ujenzi wakampatia sumu ili wamuue.
Kumbe ndivyo ilivyokuwa?
 
Thank you very much Dr. Mwifwa umejaa madini mob
 
Jamaa yangù alikuja Dar kununua gari, akapelekwa kwenye hizo yard, akanunua Toyota Hiace akafanyie biashara Kigoma.

walipofika tu Dodoma, engine imechanganya oil [emoji921] na maji [emoji97]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…