Sasa mzee kama uyu ukute anapush porteππ kwanza ata haimpendezi pia ata kijana ukimkuta anapush land cruiser unajua kabisa sio yakeπ€£π€£π€£ vitu vinaenda sambamba na umriππ Wengi wanaonaga SUV Ni Gari za heshima/kifahari, saloon zote wanaonaga Ni Taxi tu.
Hata ndani ya hayo masaa motor haiwezi rudisha km 170,000 nyuma
Haikuwa rushwa. Ile ni adhabu wamejiadhibu kwa kuchukua simu yangu bila ridhaa yanguKupokea rushwa ni kosa, rudisha pesa yao.
Unakula pesa yao then unawachoma. Mhindi, mswahili, wote janja janja hadi serikali zao ni full corrupt government. Muarabu angalau dini imemshape kwenye uaminifu
Wewe ni sehemu ya tatizo.Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan.
Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye godown yake.
Tukafika hiyo saa sita tukakuta magari ndiyo yanapangwa. Walivyomaliza tukaomba kukagua gari moja. Kijana akaitwa akaja mbio na funguo za gari zikiwa mkononi kwake.
Nikakaa kwenye usukani na rafiki yangu pembeni. Nilipoiweka gari switch on nikakuta odometer inasoma gari imetembea kilometa 219,551. Bei milioni 16
Tukashauriana tukasema hapana hili gari halifai. Tukaendelea duka jingine na jingine na jingine.
By saa tisa tukafudi tena kwenye ile Probox, tukakuta ishachezewa odometer, sasa inaonekana imetembea kilometa 46,755.
Nilikuwa nimeoiga picha chasis namba mlangoni na dashboard. Nikipowauliza mbona hii gari mmeichezea kilometa, nikawaonyesha na picha wakakasirika sana wakapora simu yangu. Nikawaambia kaeni nayo, leo mtalala polisi.
Nikawa naondoka kulekea kwenye gari tuliyokuja nayo hapo yard, ndipo mmoja ya wafanyabiashara wale akaja mbio huku akinibembeleza nifute zile picha watatupa million moja.
Hela tamu, tukakubali kufuta picha, tukabeba milioni yetu. Tukaondoka.
Lakini backyard ya hizo yard zote kuna mafundi wako busy wanayaweka sawa mamikweche hayo.
Kingine tulichogundua ni kwamba kwenye minada ya magari, magari ya nauzwa kwa classes. Hawa wanachagua class duni kabisa, yakifika hapa wanaongea vizuri na wakaguzi, wanatolewa bandarini.
Kwa somo hili tulilojifunza jana rafiki yangu amekata tamaa kabisa na magari haya. Sasa kaona bora aagize kutoka Japan πΎ asubiri siku 45 abebe mwana wake wa uhakika
Whistle blower nimesha fanya kazi yangu na wao serikali wafanye kazi yaoWewe ni sehemu ya tatizo.
Hizo picha ulitakiwa kwenda nazo moja kwa moja polisi na TAKUKURU kuzipeleka kama vielelezo.
Badala yake umechukua milioni moja ya rushwa, kisha unaitaka serikali ichukue hatua.
Serikali inatakiwa kuanza kuchukua hatua kwako wewe kwa kula rushwa iliyoharibu ushahidi.
Acha longolongo, umekula rushwa ya kuharibu ushahidi".Haikuwa rushwa. Ile ni adhabu wamejiadhibu kwa kuchukua simu yangu bila ridhaa yangu
Mchawi wetu utawala wa CCM. CCM ina urafiki mkubwa sana na rushwaTBS wapo busy kukimbizana na akina mama walala hoi pale Kasumulu border, wanaohangaika na vibiscuits!,hii nchi ni shida kila kona!,pls my IGP chukua hawa police wako peleka Botswana,even for a 14days waone wenzao wanavyofanya kazi ,Tanzania bila RUSHWA INAWEZEKANA, why Gaborone wamefanikiwa kwa hili?,Zambia wanasogea nao kuwa wasafi sisi tumekwama wapi
Watu wa forensic wapo hizo picha zinapatikana tu zikihitajikaAcha longolongo, umekula rushwa ya kuharibu ushahidi".
Wewe si whistle blower, wewe ni selfish and greedy Tanzanian.Whistle blower nimesha fanya kazi yangu na wao serikali wafanye kazi yao
Adhabu utolewa na mamlaka.Haikuwa rushwa. Ile ni adhabu wamejiadhibu kwa kuchukua simu yangu bila ridhaa yangu
Kwani yale maduka yamefunguliwa jana? Si yapo miaka nenda rudi? Mbona hawajawahi kamatwa?Wewe si whistle blower, wewe ni selfish and greedy Tanzanian.
Whistle blower angepeleka ushahidi polisi na TAKUKURU.
Wewe ni mmoja ya walioshiriki kuwawezesha hao watu kufanya biashara yao chafu.
Tena sasa hivi watafanya kwa umakini zaidi, kwa sababu umeshawastua. Umefanya iwe vigumu zaidi kuwakamata.
Umewauza wenzako kwa vipande vya fedha.
Wewe ni mla rushwa na msaliti.
Nakwambia hivi, ushawastua watafanya utapeli kwa ujanja zaidi.Watu wa forensic wapo hizo picha zinapatikana tu zikihitajika
Yamefunguliwa janja au juzi, umekula rushwa.Kwani yale maduka yamefunguliwa jana? Si yapo miaka nenda rudi? Mbona hawajawahi kamatwa?
Unachekesha wee baba. Wachukue nitawapa ushirikianoNakwambia hivi, ushawastua watafanya utapeli kwa ujanja zaidi.
Watu wa forensics hata hapa wako wanachukua IP address yako wajue nani kala rushwa.