DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuhusu classes yard zote zipo hivyo wananunua gari za bei rahisi Ili wauze kwa bei premium..kuhusu ordometer usije kuwa walikuwekea trip A au B Ili kukuchanganya
 
Vema mkuu ila tatizo letu kubwa ni uozo wa rushwa mama,it's so simple kuagiza Fuso mbovu kutoka Japan na ikaingia nchini (matajiri na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana ya kutulinda,wanatusaliti),mkuu nenda pale kasumulu border utakutana na vitu vitakuliza,mlala hoi mwanamke anahangaika kuingiza biscuits zake nchini 3 boxes only vyenye uzito chini ya 5kg!ni shida ila one guy from Karachi anamudu kutuingizia nchini write off vehicle's na kutuuzia!
 
Kuhusu classes yard zote zipo hivyo wananunua gari za bei rahisi Ili wauze kwa bei premium..kuhusu ordometer usije kuwa walikuwekea trip A au B Ili kukuchanganya
Kuna trip A
Trip B
OD. Odometer husoma kilometa ambazo gari imetembea kuanzi iliootengenezwa.
Trip unaseti mwenyewe kujua umbali, na unaweza kufuta ukitaka.
Mimi gari naijua kuliko unidhaniavyo
 
Watu wote wangeamua kukataa rushwa, isingewezekana.

Kwa sababu uozo huu unaonekana na watu, ila tatizo na hao watu wanashiriki katika hiyo rushwa kama huyu mtoa mada alivyotuonesha hapa.
 
Wewe na hao wanaouza magari mabovu mnatofauti gani? Umechukua rushwa ya milioni 1 ukafuta picha ambazo zingekua ni vivid evidence,

Huna tofauti na hao wapakistani,ndio wale wale tu.
Nikusaidie tu bro, picha unaweza kuzi recover kirahisi sana. To empty the trash bin haimaniishi ndio zimeondoka kwenye simu yako. Tunaweza kuzi recover na zikatumika kama ushahidi
 
Watu wote wangeamua kukataa rushwa, isingewezekana.

Kwa sababu uozo huu unaonekana na watu, ila tatizo na hao watu wanashiriki katika hiyo rushwa kama huyu mtoa mada alivyotuonesha hapa.
Na angeikataa hio rushwa ingeenda pokelewa post then angeambiwa ishu ipo kwenye uchunguzi
 
Na angeikataa hio rushwa ingeenda pokelewa post then angeambiwa ishu ipo kwenye uchunguzi
Nakwambia hivi, wewe ni mla rushwa tu.

Wewe ni sawa na muuza madawa ya kulevya anayesema "nisingeuza mimi, mwingine angeuza".

Hiyo hoja haiondoi ukweli kwamba umeuza madawa ya kulevya.

Wewe ni mla rushwa tu, huna haki ya kulalamikia ulimwengu ambao wewe ni sehemu ya walioutengeneza na kufaidika nao.
 
Ukisusa wenzio wanaendea kulipia school fees,we kafe na mikopo fainali uzeeni.
Aliyepokea na asiyepokea uenda genge moja.
 
Siku 45 hilo gari linakuja kwa mtumbwi au wajapani wanajitwisha wanakuletea kama mkungu wa ndizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…