Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #61
Rushwa ya kunyang'anywa simu yangu?Yamefunguliwa janja au juzi, umekula rushwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa ya kunyang'anywa simu yangu?Yamefunguliwa janja au juzi, umekula rushwa.
It was soooo sweetData recovery or no, umekula rushwa.
Tanzania yenye watu kama wewe itazidi kuwa na matatizo tu, kwa sababu watu wenyewe hamjawa na nia thabiti ya kuyamaliza hayo matatizo.Unachekesha wee baba. Wachukue nitawapa ushirikiano
Huna haki ya kulalamika, ushakula rushwa.It was soooo sweet
Vema mkuu ila tatizo letu kubwa ni uozo wa rushwa mama,it's so simple kuagiza Fuso mbovu kutoka Japan na ikaingia nchini (matajiri na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana ya kutulinda,wanatusaliti),mkuu nenda pale kasumulu border utakutana na vitu vitakuliza,mlala hoi mwanamke anahangaika kuingiza biscuits zake nchini 3 boxes only vyenye uzito chini ya 5kg!ni shida ila one guy from Karachi anamudu kutuingizia nchini write off vehicle's na kutuuzia!Wewe si whistle blower, wewe ni selfish and greedy Tanzanian.
Whistle blower angepeleka ushahidi polisi na TAKUKURU.
Wewe ni mmoja ya walioshiriki kuwawezesha hao watu kufanya biashara yao chafu.
Tena sasa hivi watafanya kwa umakini zaidi, kwa sababu umeshawastua. Umefanya iwe vigumu zaidi kuwakamata.
Umewauza wenzako kwa vipande vya fedha.
Wewe ni mla rushwa na msaliti.
Kuna trip AKuhusu classes yard zote zipo hivyo wananunua gari za bei rahisi Ili wauze kwa bei premium..kuhusu ordometer usije kuwa walikuwekea trip A au B Ili kukuchanganya
Ndo safi Sasa lazima uwachomee kunguni😀😀Kupokea rushwa ni kosa, rudisha pesa yao.
Unakula pesa yao then unawachoma. Mhindi, mswahili, wote janja janja hadi serikali zao ni full corrupt government. Muarabu angalau dini imemshape kwenye uaminifu
Umecheza chini ya kiwango chako. Hukutakiwa kutukanaHiyo simu hata wangekaa nayo wangeweza kudai wamekulipa, ushakuwa malaya wao, huna haki ya kulalamika.
Watu wote wangeamua kukataa rushwa, isingewezekana.Vema mkuu ila tatizo letu kubwa ni uozo wa rushwa mama,it's so simple kuagiza Fuso mbovu kutoka Japan na ikaingia nchini (matajiri na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana ya kutulinda,wanatusaliti),mkuu nenda pale kasumulu border utakutana na vitu vitakuliza,mlala hoi mwanamke anahangaika kuingiza biscuits zake nchini 3 boxes only vyenye uzito chini ya 5kg!ni shida ila one guy from Karachi anamudu kutuingizia nchini write off vehicle's na kutuuzia!
Ndo safi Sasa lazima uwachomee kunguni😀😀
Nikusaidie tu bro, picha unaweza kuzi recover kirahisi sana. To empty the trash bin haimaniishi ndio zimeondoka kwenye simu yako. Tunaweza kuzi recover na zikatumika kama ushahidiWewe na hao wanaouza magari mabovu mnatofauti gani? Umechukua rushwa ya milioni 1 ukafuta picha ambazo zingekua ni vivid evidence,
Huna tofauti na hao wapakistani,ndio wale wale tu.
Na angeikataa hio rushwa ingeenda pokelewa post then angeambiwa ishu ipo kwenye uchunguziWatu wote wangeamua kukataa rushwa, isingewezekana.
Kwa sababu uozo huu unaonekana na watu, ila tatizo na hao watu wanashiriki katika hiyo rushwa kama huyu mtoa mada alivyotuonesha hapa.
Nakwambia hivi, wewe ni mla rushwa tu.Na angeikataa hio rushwa ingeenda pokelewa post then angeambiwa ishu ipo kwenye uchunguzi
Ukisusa wenzio wanaendea kulipia school fees,we kafe na mikopo fainali uzeeni.Nakwambia hivi, wewe ni mla rushwa tu.
Wewe ni sawa na muuza madawa ya kulevya anayesema "nisingeuza mimi, mwingine angeuza".
Hiyo hoja haiondoi ukweli kwamba umeuza madawa ya kulevya.
Wewe ni mla rushwa tu, huna haki ya kulalamikia ulimwengu ambao wewe ni sehemu ya walioutengeneza na kufaidika nao.
Siku 45 hilo gari linakuja kwa mtumbwi au wajapani wanajitwisha wanakuletea kama mkungu wa ndizi.Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan.
Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye godown yake.
Tukafika hiyo saa sita tukakuta magari ndiyo yanapangwa. Walivyomaliza tukaomba kukagua gari moja. Kijana akaitwa akaja mbio na funguo za gari zikiwa mkononi kwake.
Nikakaa kwenye usukani na rafiki yangu pembeni. Nilipoiweka gari switch on nikakuta odometer inasoma gari imetembea kilometa 219,551. Bei milioni 16
Tukashauriana tukasema hapana hili gari halifai. Tukaendelea duka jingine na jingine na jingine.
By saa tisa tukafudi tena kwenye ile Probox, tukakuta ishachezewa odometer, sasa inaonekana imetembea kilometa 46,755.
Nilikuwa nimeoiga picha chasis namba mlangoni na dashboard. Nikipowauliza mbona hii gari mmeichezea kilometa, nikawaonyesha na picha wakakasirika sana wakapora simu yangu. Nikawaambia kaeni nayo, leo mtalala polisi.
Nikawa naondoka kulekea kwenye gari tuliyokuja nayo hapo yard, ndipo mmoja ya wafanyabiashara wale akaja mbio huku akinibembeleza nifute zile picha watatupa million moja.
Hela tamu, tukakubali kufuta picha, tukabeba milioni yetu. Tukaondoka.
Lakini backyard ya hizo yard zote kuna mafundi wako busy wanayaweka sawa mamikweche hayo.
Kingine tulichogundua ni kwamba kwenye minada ya magari, magari ya nauzwa kwa classes. Hawa wanachagua class duni kabisa, yakifika hapa wanaongea vizuri na wakaguzi, wanatolewa bandarini.
Kwa somo hili tulilojifunza jana rafiki yangu amekata tamaa kabisa na magari haya. Sasa kaona bora aagize kutoka Japan [emoji557] asubiri siku 45 abebe mwana wake wa uhakika
Mimi wala sina tatizo na asiyesusa, nina tatizo na contradiction.Ukisusa wenzio wanaendea kulipia school fees,we kafe na mikopo fainali uzeeni.
Aliyepokea na asiyepokea uenda genge moja.