Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

we unayo hiyo ml 6 ?
 
Sasa serikali iliyowaajiri hao watumishi feki nayo tuifanyaje?lile JITU lenu limeondoka kwa sababu ya masononeko ya watu wengi
 
[emoji38][emoji38][emoji38] atapata tu!
Hata haya maigizo yanayoendelea unadhani ni sababu ipi! Ni mbinu za kupata kura tu.
 
Rais Samia Suluhu anasimamia haki za wananchi safi sana
 
Mama anaoupiga mwingi ,JIKONO JANDAMA alikuwa hana ubinadamu hata kidogo.
 
Hata Kama umeuwa,au umeiba,wenye Nchi wakiamuwa wala hufungwi au hata kushitakiwa hushitakiwi!!!
 
Bora liendee ndiyo iwe hivyo!!??

Tatizo halikuwa vyeti feki hata kidogo watu walionewa. Watu waliajiriwa wakiwa darasa la saba UPE. wakajiendeleza kielimu mtu darasa la saba aliitwa Magunia Safuria. Sekondari akaitwa Magunia S. Magunia hapo yalikuwa makosa unaambiwa mpige uliyesoma naye primary tuhakiki hivi kweli UPE 1970 ntampata wapi rafiki yangu aeleze kuwa ni jina langu. Mungu atamlipa wema Samia.
 
Hyo process yake hapo mpaka upate pesa inaweza fika miaka kumi , au kama una 100M , 50M unaicaha kama hongo lasivyo hayo mafao watatumia wajukuu zako
 
nnachokiona hapa itapigwa moja na mbili halafu watuhumiwa hao hawataona kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

mambuzi yako yanaruka walipweeeeeee.
 

wewe hakuna kitu unachojua.

wenye case hii elimu na vyeti walivyo navyo ni halali,maana wamevisotea.jina sio ishu.

kwanza huwezi jua kama jina sio lake sio necta,hazina,utumishi au nida watakaojua hilo.

watu walikuwa wamenunua vyeti,cheti kimoja kina watumishi watatu,ndio hawa kabla hata ya kuambiwa kitu wakakimbia ofisi.
 
Wanafiki hao mawaziri wa jiwe! wanageuka mawe sasa
 
Mtu akiwa na cheti feki ukweli ni kwamba inabatilisha hata ajira aliyoipata kwa kutumia vyeti hivyo. Katika jambo hili nasimama na JPM.
Kitaaluma tunasema hizo ajira zilikuwa "void ab initio".
 

Hapa umechangia mada ipi Dada yangu Pakawa.???
 
Haijalishi waliowaingiza kwenye system ni kina nani lakini kuwalipa hao mabwana mabwana ni kuhalalisha Wizi wa vyeti feki.........

Kutokukamatwa ukiwa unaiba hakukuhalalishi kuwa mwizi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…