Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Usije ukasahau power alizonazo President.
Rais akiamua ni nani wa kupinga?
 
Yes na adhabu ya miaka 30 kwa kijana aliyempa mimba mwanafunzi inabidi ifikiriwe zaidi, ikiwezekana isiwepo kabisa
Hiyo adhabu sijawai kuikubali japo nina vijana wa kike. Naunga mkono apewe adhabu lakini si mika 30 jela.
Mtoto anayezaliwa anazaliwa huku baba yupo jela. Na huenda wakaja kuonana baba ni mzee wa mika 60.
 
Tunatumia muda mwingi sana kutetea ujinga.

Haki ya mashoga kupata vilainishi nayo inakuja
Mashoga wakipata vilainishi wewe kinakuumiza kitu gani? Wanatumia your ashole?
 
Magu alipindua meza CCM hawakuamini. Kwanza alianza kuita serikali yangu, hela zangu hizi natoa, akafukuza kina Likwelile akaweka wajomba zake. Tukana sana watu hadharani n.k
 
"Kwa mujibu wa kifungu cha sheria cha 60A kifungu kidogo cha (3) cha sheria ya elimu namba 353 ya mwaka 2002 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016 kuwa MTU yeyote atakayempa mwanafunzi ujauzito atakuwa amevunja sheria na atahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela"

#Waziri basi atupunguzie na adhabu hii.
 
Kwa hiyo wewe unashabikia mwanao asome na wamama darasa la moja la STD IV?? anamshauri nini wakiwa wote pale darasani?. Kwa hiyo umefurahia kuwa gegeda wanafunzi ukiwaelimisha kuwa mimba siyo kikwazo cha kutoendelea na masomo??

Itapendeza na upande wa pili wa mahakama wafute adhabu ya kifungo miaka 30 jela. Lakini kama kila kitu ruksa usihofu KATIBA MPYA inanukia sooon b4 2025
 
Unapenda vitoto vya Primary na Secondary? Why usifanye na agemates wako?
 
Kwani haya mambo ya kupeana mimba huwa yanaingizwa kwenye katiba?
 
Kwani haya mambo ya kupeana mimba huwa yanaingizwa kwenye katiba?
Kwani Mr DJ chanzo cha kesi yake nini?? achilia mbali Mbowe kuwa GAIDI?? Kwa sasa tamanio la watz ni katiba mpya. So kama mwanafunzi anaruhusiwa kupigwa mimba hii ni kwamba anaruhusiwa kutoka kwa mume wake aende darasani. Kwa mantiki hiyo aliyembebesha mimba anawajibu wa kulea mtoto wakati mama yupo darasani, akirudi nyumbani anakuwa Mke. Kwa hiyo kama hili limewezekana na hata dai la katiba mpya litawezekana tena soooon b4 2025
 
Hiyo adhabu sijawai kuikubali japo nina vijana wa kike. Naunga mkono apewe adhabu lakini si mika 30 jela.
Mtoto anayezaliwa anazaliwa huku baba yupo jela. Na huenda wakaja kuonana baba ni mzee wa mika 60.
Kwasababu lengo la adhabu lilikuwa na tafsiri ya kwamba mtoto wa kike anakuwa amesitisha masomo, kwa hiyo kijana anahukumiwa kwa kusababisha masomo yasitishwe

Sasa kama mtoto wa kike anaweza kusoma, una muhukumu kijana kwa kosa gani? Hii si ni sawa tu na dada ambaye kapewa mimba mtaani ambayr hasomi?

Au hii si ni sawa na mwanafunzi wa chuo ambaye anaruhusiwa kuwa na mimba?

Wakihalalisha sheria ya kumfunga kijana basi wasiishie hapo hata wale wanaoona vyuoni wafungwe miaka hiyo hiyo 30
 
Ubishi wao umewasaidia nini sasa badala ya kupoteza muda tu ?
Halafu yale yale yaliokuwa yakiwabeza wakina zitto, maria sarungi na watetezi wa haki za binadamu yatakuja kupongeza tena!!yaani siasa za Afrika bila unafiki huwezi kufika!!
 
Mtoto wa miaka 13 awe mke?
 
ona hili guruwe linaandika upuuzi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…