Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

Uongo
 
Yes na adhabu ya miaka 30 kwa kijana aliyempa mimba mwanafunzi inabidi ifikiriwe zaidi, ikiwezekana isiwepo kabisa
Umegonga mule mule maana naona tuammua kupeleka umalaya mpaka mashuleni sio tena chuo kikuu peke yake
 
Yes na adhabu ya miaka 30 kwa kijana aliyempa mimba mwanafunzi inabidi ifikiriwe zaidi, ikiwezekana isiwepo kabisa
Kabisa yaan haina haja yakumfunga baba, alafu mama alee mtoto peke yake
 
Kumrudisha mtoto shule kunazuia kufundisha maadili?
Au wewe unafurahia nini huyu mtoto anaponyimwa fursa ya elimu?
Hajanyimwa fursa, amepewa nafasi ya kujifunza kwakugharamia elimu yake...Ndiyo sababu akienda mfumo mwingine hakatazwi siyo kutumia kodi ya nchi kuendeleza elimu yake....Ndiyo sababu kuna sheria zinazokataza mtu kujichukulia mali bila ruhusu ni wizi, no matter unashida au unakaribia kufa na njaa
 
Mi mwanangu akibeba mimba ahame kwangu. Silei wazazi
Wazazi Kama nyie dunia ndio inawafunza ..


Watoto wako wanapigwa mimba na hawaolewi na unalea wajukuu mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Punguza mdomo mkuu ,nimeshuhudia wazazi Kama wewe .....
 
Safi sana waziri, kuna wakuu washule flani ivi, wakiona wanafunzi hawana akili au performance yao ni ya chini darasani, walikuwa wanawasingizia Wana mimba na kuwafukuza shule, hutazani wao ndo wamewapa mimba hao wanafunzi,
Hakuna mwalimu mkuu anayemsingizia mimba mwanafunzi wa kike. Mwanaume ndo anaweza singiziwa kumpa mimba mwanafunzi
 
Hayati Magufuli akifufuka leo atahisi alikufa miaka 100 ilopita mana hii U turn inayopigwa na wapambe zake hawezi amini.

Siasa za bongo bila unafiki huwezi ziishi.

#MaendeleoHayanaChama
Unafiki ni mbaya sana

Ila kila lenye mwanzo linamwisho
 
Reactions: Ame
Naona kuporomoka kwa maadili na kuzarauriwa kwa wanalimu
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…