Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

Hivi wewe mpumbavu unaona watu kuandika andika humu ndo wana akili au wanaweza wakatumika kuisogeza nchi mbele? Huyu mtu kama heriel sijui kwanza huwa anaandika upumbavu mwingi sana na ujinga. Only shallow minds can think upuuzi wake ni intelligence. Plus ukishakaa kwenye reigns of power ndo utajua nchi haindeshwi kwa kuandika andika upuuzi na kushauri ujinga ujinga. Things aint as easy nor as straightforward as they seem ukiwa huku pembeni. Futa huu uzi haraka sana
 
Dr Haya Land, kwanza nashukuru kwa kuniona mimi na hao wenzangu wawili wanaweza kuwa na mchango wa kulisaidia Taifa letu. Najua wapo zaidi ya sisi watatu uliotutaja. Lakini hata kukawa na mtu mmoja au wawili ambao wakaona una kitu ambacho kinaweza kuwasaidia wengine, ni jambo la heri.

Kifupi, binafsi nimeyafanyia kazi makampuni na taasisi mbalimbali za kimataifa kwenye sekta yangu, na kwa kiasi fulani nje ya sekta. Pia nimekuwa mshiriki na mwalikwa maalum wa ASX ambayo ndiyo main stock exchange nchini Australia. Na mara mbili niliombwa na Serikali za nchi mbili kusaidia kuwapata wawekezaji wa kigeni kwenda kuwekza nchini mwao. Niliifanya kazi hiyo, na ninashukuru kwa mafanikio makubwa.

Kwa ujumla, ni baada ya mialiko hiyo miwili, nilijisikia vibaya kwamba nafanyia kazi mataifa mengine, wakati sijafanya hivyo kwa nchi yangu. Kwa dhamira njema kabisa, nilikusudia kutoa mawazo yangu kuhusiana na mambo kadhaa kwenye uwekezaji mkubwa maana ndiyo suluhisho kubwa kabisa la tatizo la ajira, mapato duni ya Serikali na mishahara midogo ya waajiriwa wengi. Nilivyokuja nchini nilifanya initiative ya kutaka kumwona Rais, kwa dhamira njema ya kutoa practical advice, niliandaa na waraka mfupi. Niliongea na watu fulani ndani ya Serikali, wakasifu sana. Wakanipa cobtacts za watu wanaoweza kunifanyia arrangement. Lakini kwenye hizo jitihada za kumwona Rais nikaishia kuombwa pesa milioni 100 eti ili waweze kunifanyia arrangement ya kumwona Rais. Nikaona ni upuuzi. Maana mawazo yao ni kama kila anayetaka kumwona Rais anaenda kutafuta ajira/ulaji. Binafsi nilikuwa tayari kuwapa mchango wangu wa ushauri bila ya kuhitaji hata shilingi ya Serikali, sikuwa natafuta kazi kwa sababu nilikuwa nayo.

Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana ya kukatisha tamaa. Watu wakati wote wanafikiria hela tu iwe kwa uhalali au kwa njia chafu. Sijui kama kuna watu wengine hapa JF walitaka appointment na Rais, wanaweza kueleza experience yao. Hiyo ilikuwa ni awamu hii ya 6. Lakini hata awamu iliyopita, nilielezea hicho kisa changu kwa baadhi ya watu, nikaambiwa na jamaa ambaye alitaka kumwona Rais, yeye aliambiwa atoe milioni 400. Alitoa milioni 20, ilichukuliwa ikaliwa, na Rais hakumwona eti pesa hiyo ilikuwa kidogo mno. Na hiyo siyo kwamba anaitaka Rais bali wale wasaidizi wake au watu wenye easy access na Rais (na uwezekano mkubwa hata Rais mwenyewe hajui kuwa kumwona yeye wasaidizi wake wanawatoza watu pesa). Nikaambiwa kuwa eti ni utaratibu uliozoeleka. Na kwamba hata baadhi ya mawaziri ambao wana access kubwa na Rais ni wale ambao wanatoa tips za mara kwa mara kwa wasaidizi wa Rais (tip yenyewe, wanaongelea milioni 10 au zaidi). Nikaamua kufanya uchunguzi zaidi, nikakutana na mwingine ambaye wakati wa utawala wa awamu ya 4, aliweza kuonana na Kikwete lakini aliambiwa atoe milioni 30, baada ya kubembeleza sana alitoa milioni 20.

Sasa kwenye ofisi kubwa kama hiyo, inakuwa corrupt kiasi hicho, huku chini unatarajia nini? Yaani nitoe pesa ili nimwone Rais, kwa kipi ninachokitafuta?

Kwa hiyo, wakati fulani ni aheri kuishia kutoa michango yetu huku kwenye mitandao, japo inakuwa ni kwa wepesi sana, huenda itasomwa kuliko kuhangaika kwa namna nyingine ambazo zitakukatisha tamaa.

Zipo familia ambazo kwao Ikulu ni kama nyumbani kwa jirani yao. Wao wanaenda wajati wowote wakitaka, wanaongea na Rais muda wowote wakitaka, wanaweza kumwunganisha mtu yeyote kukutana na Rais wakitaka, lakini kwa wengine nje ya hizo familia za utawala, ni kazi sana kumfikia Rais hata kama watu hao wana jambo jema kiasi gani.

Nchi yetu siyo kwamba haina watu wanaoweza kuisaidia bali hakuna mfumo ambao unatoa nafasi ya faida ya kuwa na watu wengi. Faida ya kuwa na watu wengi, ni uwezekano wa kupata fikra mbalimbali na mpya kutoka kwa watu mbalimbali. Nchini mwetu hiyo faida tumeikataa. Ndiyo maana huko Serikalini, iwe ni mawaziri, wakurugenzi wakuu, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa mashirika, nakadiria ni zaidi ya 80% majina huwa ni yale yale ya watu waliozoeleka.

Watu ni wale wale, fikra ni zile zile, mbinu ni zile zile, mifumo ni ile, lakini tunatarajia mwakakesho tushuhudie matokeo tofauti. Kama leo hii unaishi na kutenda vile vile kama ilivyokuwa mwakajuzi na mwakajana, kwa nini utegemee mwaka kesho kutakuwa na matokeo tofauti? Kama tunataka mwakakesho iwe tofauti na mwakajuzi na mwakajana, yabidi kutafakari ni nini tunachokifanya leo kilicho tofauti na mwakajana na mwakajuzi.

Mtu anayetanguliza Pesa Kwa kawaida ni MTU aliyejidharau na anayestahili kudharauliwa. Hata angekuwa anawakawaka kama Malaika, hat angekuwa na cheo gani. MTU anayetanguliza Pesa kuliko kitu chochote NI wakuonea huruma tuu.

Ukiona MTU yeyote anayefikiri Kupata cheo au Pesa ndio heshima, huyo ni wakuonea huruma tuu.
 
Hivi wewe mpumbavu unaona watu kuandika andika humu ndo wana akili au wanaweza wakatumika kuisogeza nchi mbele? Huyu mtu kama heriel sijui kwanza huwa anaandika upumbavu mwingi sana na ujinga. Only shallow minds can think upuuzi wake ni intelligence. Plus ukishakaa kwenye reigns of power ndo utajua nchi haindeshwi kwa kuandika andika upuuzi na kushauri ujinga ujinga. Things aint as easy nor as straightforward as they seem ukiwa huku pembeni. Futa huu uzi haraka sana

😂😂
Wewe kama hata hapo mtaani hawakutambui, hata kwenye familia yako haikujui unategemea ungeandika nini zaidi ya hicho ulichoandika?
Ni Haki yako. Usiumie Kwa vitu vidogo kama hivi. 😀😀
 
sjajua uwezo wa hao watu , ila kivyovyote watatakiwa kua chichiemu kwanza na hapo ndo mipango yote chali
 
😂😂
Wewe kama hata hapo mtaani hawakutambui, hata kwenye familia yako haikujui unategemea ungeandika nini zaidi ya hicho ulichoandika?
Ni Haki yako. Usiumie Kwa vitu vidogo kama hivi. 😀😀
Stop trying to act relevant. You aint. You are just another nincompoop who blabs any stupid thought that crosses their minds. I can see past you bullshit
 
Naona upepo wa nyuzi za kutajana member kwa member umeshika kasi.

Au ndo hatuna contents zakuandika..!!?[emoji848]
 
Stop trying to act relevant. You aint. You are just another nincompoop who blabs any stupid thought that crosses their minds. I can see past you bullshit

Hicho kingereza chako hakiisaidii nchi Hii Kwa namna yoyote Ile. Ndio maana hakuna hata mmoja anayeku- appreciate sio kwenye familia au ukoo wenu, Wala huku mitandaoni.

Mwenzako katoa Maoni yake vile anavyoona wadau aliowataja wanaisaidia jamii Kwa namna moja au nyingine, wewe unaleta Wivu 😂😂.
Muite Mkeo walau naye akutaje huku maana unadhani tunafaidi😊.
 
Sasa kama hauko bothered na mimi kutoa maoni yangu tuliza mnduku. Unadhan haya maarticle yako marefu unayoandikaga humu yana msaada wowote kwenye hii nchi? Acha kujichekesha
 
Sasa kama hauko bothered na mimi kutoa maoni yangu tuliza mnduku. Unadhan haya maarticle yako marefu unayoandikaga humu yana msaada wowote kwenye hii nchi? Acha kujichekesha

Mtu akishataja jina langu tayari ninauhuru wa kudili naye Kwa namna itakayomfaa. Hujiulizi mbona siwanukuu wengine zaidi ya wewe mwenye kiherehere.

Makala ndefu haziwahusu Watu wa Aina yako ndio maana huoni mchango wake, Anzisha Uzi utoe mawazo yako ili walau na wewe uwe na mchango wowote ndani ya jamii. Sio uishi kama maiti, tena hata maiti nu mbolea ktik Ardhi.
Ukiona Wivu unakuzidi, mwambie shemeji awe anakusifia ili Nafsi yako itulie. Wivu utakuua Kwa ujinga wako.😂😂
 
Hicho kingereza chako hakiisaidii nchi Hii Kwa namna yoyote Ile. Ndio maana hakuna hata mmoja anayeku- appreciate sio kwenye familia au ukoo wenu, Wala huku mitandaoni.

Mwenzako katoa Maoni yake vile anavyoona wadau aliowataja wanaisaidia jamii Kwa namna moja au nyingine, wewe unaleta Wivu [emoji23][emoji23].
Muite Mkeo walau naye akutaje huku maana unadhani tunafaidi[emoji4].
Duh

Ova
 
Mtu akishataja jina langu tayari ninauhuru wa kudili naye Kwa namna itakayomfaa. Hujiulizi mbona siwanukuu wengine zaidi ya wewe mwenye kiherehere.

Makala ndefu haziwahusu Watu wa Aina yako ndio maana huoni mchango wake, Anzisha Uzi utoe mawazo yako ili walau na wewe uwe na mchango wowote ndani ya jamii. Sio uishi kama maiti, tena hata maiti nu mbolea ktik Ardhi.
Ukiona Wivu unakuzidi, mwambie shemeji awe anakusifia ili Nafsi yako itulie. Wivu utakuua Kwa ujinga wako.[emoji23][emoji23]
Kuna tabia humu siku hizi watu hawataki kuona wala kusikia mtu akitoa maoni

Ova
 
Kuna tabia humu siku hizi watu hawataki kuona wala kusikia mtu akitoa maoni

Ova

Alafu mtu anataka yeye ndio awe na power ya kuongea chochote kiwe ni kizuri au kibaya(ikiwemo kukukejeli) alafu ukimpa Haki yake(ukimjibu inavyotakiwa) hataki.

Huu ni mtandao tuu, ni kama kijiwe ambacho Watu wanapiga soga za aina zote. Sio kila mara tuongee mambo ya Akili tuu, au sio kila mara tuongee mambo ya ujinga tuu. Kila MTU anayohaki kujadili chochote ilimradi havunji sheria za nchi wala za mtandao husika.
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
aisee
 
Nani kakwambia hao uliowataja hawako serikalini?? yaweza ikawa ata ni mawaziri ni vile tu wanatumia fake ID.
 
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.

Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams

Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka.

Serikali Kama mtaendelea kuwakumbatia watu ambao hawana akili na MAARIFA eti ndo waongoze nchi Basi Umasikini utaendelea kuwa Wimbo wa Taifa.

Serikali inabidi ku-recruit watu wa consultation ambao at the end wataisadia serikali kupiga hatua
Nna wasiwasi huenda wanawapigia hata hesabu za kuwa dedisha Kwa kosa la kutubumbulua
 
Back
Top Bottom