Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hiko kitu uliona airport gani. Wenzetu wapo busy hawawezi kwenda tu airport wakati wanamajukumu mengineKumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Mleta mada atakuwa ni demu huyu!Acha ushamba mzee baba
Tena atakuwa ni mzaramo wa Msoga 😂Mleta mada atakuwa ni demu huyu!
Ina maana na wasafiri wa ndani nao wasiingie airport ?, maana wao hawahitaji visa wala passport.Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Umesema kweli kbs! Watu hilo nje wako bize sn!Hiko kitu uliona airport gani. Wenzetu wapo busy hawawezi kwenda tu airport wakati wanamajukumu mengine