Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
airport ya wenzako ipi hiyo iliyo na ujinga unaopendekezaKumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.