airport ya wenzako ipi hiyo iliyo na ujinga unaopendekezaKumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Mkuu kwani si hiyo airport imejengwa kwa pesa yetu wenyewe, je huo usalama unahitajika kwenye airpot tu na sio kwenye mabasi, unaongea kama nshomile! Hiyo airport sio nyumba yako na sio mali ya baako,ni mali ya watanzania wote acha upumbafuKumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Inaoneka una roho mbaya then mbeya hujaridhika kupanda ndege kwenda nchi za watu, Unakuja kutufanyia figisu tushindwe hata kupiga picha ukiwa airport kisa visa na passport.Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Unapoingia Jamii forum hakikisha unapitia terms and conditions za hili jukwaa. Ni ushauri kujifanya kuwafahamu watu Jamii forum itakuja kuwaponza.Inaoneka una roho mbaya then mbeya hujaridhika kupanda ndege kwenda nchi za watu, Unakuja kutufanyia figisu tushindwe hata kupiga picha ukiwa airport kisa visa na passport.
We acha madada zetu waendelee kwenda na mabegi kupiga picha airport ili waposti insta waonekane wanasafiri kwenda china kufuata mzigo wa biasharaKumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.
2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.
Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Hahahaha...umesema hivyo nikajenga picha flan, eti tukiwaomba ili kufanya masahihisho wanakataa. Utakuwa ulikuwa unakaa nyuma ya darasa...back benja [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Watu waliokua wanapata 98% kwenye mtihani na sisi tunapata 30% tukiwaomba karatasi zao kufanya masahihisho wanakataa wakiwa wakubwa ndo tabia za mleta mada !! Tumeshakubali hela ya kupanda ndege hatuna ! Hata picha hamtaki manina[emoji3][emoji3]