Ngao Ya Imani
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 171
- 509
Nimemtaja Mungu yupi hapo, stop being naive, fanya yote ilà kufa tutakufa tu!! Wala huna haja ya kudhihaki whether alikuwa mwema au mbaya.Sasa yanini kufanya ubabe, sijamsema mungu wenu samahani mataga
Mkorofi mwingine ni weweCorona ni kama ina macho na masikio, wakaidi huwa inawanyoosha kwelikweli.
Nakumbuka Trump alivyokuwa akiikejeli mwanzoni mwanzoni kilichofuata wote mnafahamu, Bolsonaro wa Brazil kejeli zilifanana na za Trump kinachoendelea huko kinaeleweka.
Huyu ndugu yetu yeye habari ni ileile ya ukaidi kama wa yulee mfalme juha.
Sijasema Mr. President kaondolewa na korona.
Imfyekelee mbaliKuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
Mimi nimefurahia unasemaje sasaKuna watu wanafurahia kifo acheni usenge
Hata bibi yetu Maria anadunda babu Kambarage katanguliaDaa kuumbe jamaa alikuwa mdogo sana? mke wake yuko kwenye 30 nadhani aweza kuzaa tena huyo km akiolewa! kwa nini vidume vinawahi kufa sana? angalia Samora mke wake anadunda! Mugabe je?
Mbona unaumia dogo, kama kila MTU atakufa? Wenye dhambi mnaogopa sana kifo?Nimemtaja Mungu yupi hapo, stop being naive, fanya yote ilà kufa tutakufa tu!! Wala huna haja ya kudhihaki whether alikuwa mwema au mbaya.
We are all losersMimi nimefurahia unasemaje sasa
Rest in peace the dictator of burundiRais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.
Wanialike nikamlambe mboko mpuuzi yuleOne less dictator p****y in the world. Hakuna cha RIP alale tu