Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
We are all equal before God!
 
Siku zote Watu husema MUNGU HAMFICHI MNAFIKI.....!!!Kurunzinza kalazimisha Uchaguzi wa Magumashi Katikati ya Janga la Corona ili mtu wake ashinde....! Just Stay tuned....huenda Mnafiki mwingine toka nchi jirani yuko kwa foleni!
Mbona inasemakana alikuwa amekata muda tu
 
Halafu madikteta wote wamesoma au wamewahi ishi Tanzania,M7,pk,nkuru,kabila,mnanga,Ina maana tz ni chuo cha udikteta? Only Kenya tu ndo awajawahi ishi au soma tz.
Amani ikizidi woga hupanga hapo Tanzanian tumejazwa woga kiasi kwamba kiongozi anakuwa na uwezo wa kukufanyia ukiritimba autakao
 
Basi RIP . Tuombe Mungu Corona isitupate wakati tuna magonjwa mengine.
 
Poleni.sana.Burundi.kwa.kuondokewa na Raid mstaafu.Alikuwa handsome.
 
Kuna Dude jingine hapa nchinilinatakiwa life kama huyo alivyokufa huyo mwonevu.
 
Ameuwa watu wengi Sana,lkn ameshindwa zuia kifo chake, kupitia killing house zake chemba za maji zilikuwa zikimwaga damu badala ya maji.Ndo mjue Hawa wakoloni weusi wanafanyia waafrika ukatili wa Hali ya juu kuliko hata ukatili mkoloni mweupe alivomtendea mwafrika.
Ukiingia BBC eyes on Africa utashuhudia ukatili anaotendewa mwafrika dhidi ya mwafrika mwenzake.
 

Attachments

  • Screenshot_20200609_193303.jpg
    86.2 KB · Views: 1
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…