Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Wapumbavu washaanza kusema COVID19.stupid speculations
 
Hahahah sasa hivi atakua anamaindi kichizi maana alikua amefanikiwa kutuaminisha kwamba Covid imeisha,sasa hiki kifo cha Pierre kitarudisha nyuma juhudi zake maana watu wataanza tena kusema kumbe Covid ipo.
Museveni namuombea sana afya njema kwa kuonyesha strong leadership kwenye janga hili la Corona ila yule mkaidi wa TZ namuombea corona ipige hodi mlangoni kwake
 
Then he is Gone.[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
 
Poleni wafiwa. "Maisha ni hadithi" - alisema Mzee Mwinyi. Je, utaacha hadithi gani siku unaondoka? Jamani tutende wema kwa watu wengine.

Mwisho wa siku wote tutazikwa na tutakuwa na maswali ya kujibu siku Yesu akirudi. Kujimwambafai hakufai (Bongo fleva, chukuwa hiyo rhyme).
 
Duh ama kweli covid19 ni mbabe wa wababe, r.i.p
 
Kweli maisha ni mafupi na na siku za kuishi ni chache nazo zimejaa tabu na misuko suko mingi sana,

R. I. P mwendazake Nkurunzinza.
 
Huyu jamaa akafie huko Dikteta kubwa

Bado kuna mmoja anazurura zurura....lazima avute!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…