smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Aaa bibi bana utamtania tu. Haitapenya lkn huyu wa kurunzinza ataipenyesha mwenyewe kiutani tani any way poleni kwa msiba wana EACHata bibi yetu Maria anadunda babu Kambarage katangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaa bibi bana utamtania tu. Haitapenya lkn huyu wa kurunzinza ataipenyesha mwenyewe kiutani tani any way poleni kwa msiba wana EACHata bibi yetu Maria anadunda babu Kambarage katangulia
NAKALA IWAFIKIE WALE WANAOWATAKIA MABAYA WENZAO!Sasa fikiria sie tunamkosea kiasi gani Mungu ila bado ndio kwanza anaendelea kutupa pumzi, sasa tizama sie wenyewe tunavyotakiana mabaya!
Hata akifa kwa corona hakuna cha ajabu itakuwa ndio kifo alichopangiwa, waziri mkuu uingereza corona nusu imuondoe sema tu siku zake bado.
Ndio udikteta huo maana katiba inaruhusu maoniTofautisha kiongozi mwenye msimamo na dikteta. Huwezi kuongoza nchi afu kila mtu awe mropokaji utakuwa haupo siriazi na uongozi.
Kwanini wamuue wakati ameshatoka madarakani, hiyo ni Covid-19kama uliyoyasema ni kweli, basi hajafa kwa Corona huenda hata wameona wamtangulize tu, CIA wana sindano ukichomwa sababu ya kifo inakuja kuonekana ni cardiac arrest, ndiyo pia inasemekana alichomwa rais wa kwanza wa congo KASAVUBU, hata mobutu alipanga kutawala mpaka 2000 , licha ya kwamba aliwambia wananchi angestaafu 1990 lakini kuna interview akasema atakuwepo mpaka 2000, inasemekana nae aliuwawa
Tulieni dawa iwaingie vzuri, naona spika anakonga nyoyo za wapenda maendeleo "atake asitake ataongezewa muda"Ndio udikteta huo maana katiba inaruhusu maoni
Nae aache kupinga uvaaji wa barakoa.
Wapi wamesema sio Corona.Wanasema chanzo chakifo ni heart attack na sio corona [emoji848]
ww unasikiliza kweli vyombo vya habari au unakurupuka? Niambie ww chanzo kipi cha taarifa ulichosikia wamesema amekufa na corona?Wapi wamesema sio Corona.
hili jina limevuma sana sijui ni nini hadi huku mitaani kunawatu wanaitwa NkurunzizaR I P mkulunzinza.
Kwanini wamuue wakati ameshatoka madarakani, hiyo ni Covid-19
Hivi kama ungekuwa wewe umekabidhiwa nchi iliyoraruriwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyokuwa Burundi, ungewaongozaje? Ungewabembeleza kwa demokrasia au ungewaonyesha nini kina kinatakiwa kufanyika?He was a dictator
You don't know anything about him. I m sorry to say. Witnessing him worshipping at Kakobe's church is not a criteria of judging his leadership in his country. But for the people who witnessed Burundi before him and Burundi now can understand what I am talking about.My foot, he was a dictator though mlokole na alikuwa anasali kwa kakobe pale mwenge yey na mke wake
Mimi siyo Mhaya
Huo unaosema ni uzushi tu.Serikali ya Burundi imeshasema ni maradhi ya moyo.Inaonekana baadhi ya watu tangu kutajwa kwa ugonjwa wa corona hawataki kukubali tena kwamba vifo vina sababu nyingi na vimekuwa vikuuwa watu tangu dunia iumbwe.Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapi
Kuhusu Nkurunziza naamini ni huo ugonjwa wa moyo baada ya moyo wake kujaa maudhi ya miaka mingi.Kutishwa na kukejeliwa na raia wake na marais wote wa dunia huku moyo wake ukisubiri mno.Hatimae umeshindwa.Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapi
Inategemea na imani yako. Mimi siamini na hakuna kitakacho nipata. Pambana na hali yako na methali zako za kikabilaNime translate kwenye kiswahili, kwani tatizo liko wapi? - narudia kusisitiza kwamba ukimtakia mabaya binadamu mwenzo yanatakurudia wewe.
I dont believe.African governmentsHuo unaosema ni uzushi tu.Serikali ya Burundi imeshasema ni maradhi ya moyo.Inaonekana baadhi ya watu tangu kutajwa kwa ugonjwa wa corona hawataki kukubali tena kwamba vifo vina sababu nyingi na vimekuwa vikuuwa watu tangu dunia iumbwe.
Unaziamini China na Amerika kwa kipi cha kweli wanachokisema.I dont believe.African governments
Nimesema i dont believe African governments, their levels of ethics are too low.Unaziamini China na Amerika kwa kipi cha kweli wanachokisema.