Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Hata bibi yetu Maria anadunda babu Kambarage katangulia
Aaa bibi bana utamtania tu. Haitapenya lkn huyu wa kurunzinza ataipenyesha mwenyewe kiutani tani any way poleni kwa msiba wana EAC
 
Sasa fikiria sie tunamkosea kiasi gani Mungu ila bado ndio kwanza anaendelea kutupa pumzi, sasa tizama sie wenyewe tunavyotakiana mabaya!

Hata akifa kwa corona hakuna cha ajabu itakuwa ndio kifo alichopangiwa, waziri mkuu uingereza corona nusu imuondoe sema tu siku zake bado.
NAKALA IWAFIKIE WALE WANAOWATAKIA MABAYA WENZAO!
 
kama uliyoyasema ni kweli, basi hajafa kwa Corona huenda hata wameona wamtangulize tu, CIA wana sindano ukichomwa sababu ya kifo inakuja kuonekana ni cardiac arrest, ndiyo pia inasemekana alichomwa rais wa kwanza wa congo KASAVUBU, hata mobutu alipanga kutawala mpaka 2000 , licha ya kwamba aliwambia wananchi angestaafu 1990 lakini kuna interview akasema atakuwepo mpaka 2000, inasemekana nae aliuwawa
Kwanini wamuue wakati ameshatoka madarakani, hiyo ni Covid-19
 
Kwanini wamuue wakati ameshatoka madarakani, hiyo ni Covid-19

alikuwa hajakabidhi office, angeweza hata kugoma kutoka madarakani mkuu, yani angetafuta sababu mfano azue machafuko alafu aseme hawezi kukabidhi nchi
 
My foot, he was a dictator though mlokole na alikuwa anasali kwa kakobe pale mwenge yey na mke wake
You don't know anything about him. I m sorry to say. Witnessing him worshipping at Kakobe's church is not a criteria of judging his leadership in his country. But for the people who witnessed Burundi before him and Burundi now can understand what I am talking about.
 
CNN ,BBC report Nkurinziza dies of 'heart attack' . Learn to read between the qoutation marks. Habari ndio hiyo.
 
Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapi
Huo unaosema ni uzushi tu.Serikali ya Burundi imeshasema ni maradhi ya moyo.Inaonekana baadhi ya watu tangu kutajwa kwa ugonjwa wa corona hawataki kukubali tena kwamba vifo vina sababu nyingi na vimekuwa vikuuwa watu tangu dunia iumbwe.
 
Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapi
Kuhusu Nkurunziza naamini ni huo ugonjwa wa moyo baada ya moyo wake kujaa maudhi ya miaka mingi.Kutishwa na kukejeliwa na raia wake na marais wote wa dunia huku moyo wake ukisubiri mno.Hatimae umeshindwa.
Yeye hakuwa na corona na kifo chake hakina dalili za corona.Ingekuwa corona ni maradhi kama maradhi mengine mfano wa Ebola basi warundi wangekufa wengi sana kabla ya raisi wao.
 
Nime translate kwenye kiswahili, kwani tatizo liko wapi? - narudia kusisitiza kwamba ukimtakia mabaya binadamu mwenzo yanatakurudia wewe.
Inategemea na imani yako. Mimi siamini na hakuna kitakacho nipata. Pambana na hali yako na methali zako za kikabila
 
Huo unaosema ni uzushi tu.Serikali ya Burundi imeshasema ni maradhi ya moyo.Inaonekana baadhi ya watu tangu kutajwa kwa ugonjwa wa corona hawataki kukubali tena kwamba vifo vina sababu nyingi na vimekuwa vikuuwa watu tangu dunia iumbwe.
I dont believe.African governments
 
Unaziamini China na Amerika kwa kipi cha kweli wanachokisema.
Nimesema i dont believe African governments, their levels of ethics are too low.

Lakini pia maendeleo ya nchi husika yanaonesha ni kwa kiwango gani a country is efficient in their leadership.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom