Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Baada ya Mwendazake kuingiza nchi kwenye mzigo wa madeni,Samia hakua na options zaidi ya tozo ..

Ghana nayo iko hoi kwa madeni kwa hiyo lazima walipe.Hali iko hivi πŸ‘‡

View attachment 2052739
Kuna miradi mingi ambayo imeshafanyika nusu. Hiyo nusu iliyosalia ni lazima imalizike.

Tatizo la mtu mweusi kufa hataki lakini anataka jina lake liwe miongoni mwa yale yatakayokuwemo mbinguni!.

Haya maisha tunayoyaona ni mzigo hao wazungu wameshayazoea siku nyingi tu.
 
JPM alikuwa ni mbishi, mwenye kujua kila kitu hata yale masuala ambayo wapo wataalam kwa ajili ya kumsaidia.

Biashara nyingi zimekufa kaskazini kwa sababu ya ubishi wake. Ukiua sehemu fulani ya biashara ya kimataifa ni sawa na kuiua biashara nzima kwani ni sekta zenye kutegemeana.
 
Any way, it is typical of all Opposition Parties in Africa to oppose any GOOD IDEA by the Ruling Parties under the guise that IT WILL HURT THE POOR! This is CHEAP POLITICS!
 
Ninajiuliza je upande wa pili nao hili tozo wanalo isije ikawa pesa za tozo kwa ajili ya vituo vya afya tunazotozwa zikapelekwa pia upande mwingine. Ningeona kila upande ukutumia tozo walizokusanya kuwa ndio sawa.
 
Bongo kwenye wapo kusema β€œNdiyoooooo” ktk kupitisha mambo!
 
Tatizo vijana wengi wa Tanzania ni washamba sana na wanakosa exposure ya mambo hata madogo madogo,Watu wanasifia as if Tanzania haijawahi kuwa na kodi ya miamala ya simu wakati kiuhalisia alichofanya samia ni kuongeza viwango vilichokuwa kinatozwa huko nyuma
 
Kodi ya miamala ilikuwapo ila kilichotokea ni serikali kutaka faida kubwa kwa mara moja!

Huku ni kuumiza watu makusudi na ndo kitu ambacho hakikubaliki mbaya zaidi anayefanya hivyo yeye tabu haijui maana analipwa mshahara na marupurupu na analipiwa nyumba na usafiri pamoja na bima za afya! Its our stupidiness kuachilia watu wa aina hii kutupangia namna ya kuishi! Yani anaishi maisha ya peponi katikati ya jangwa
 
Na haya ndo mambo ya msingi ambayo mleta mada na baadhi ya wengineo hata hawaelewi kazi kuleta propaganda hata kwenye mambo yanayotuumiza wenyewe kwa wenyewe ,Hii nchi ngumu sana kaka- Watu wanasifia watawala kwa mambo ya kijinga huku wanaumia kimya kimya
 
Wanajua sana ila wanajifanya wana wazimu sababu wao wanaenda seminar kujipigia per diems sahizi hutaskia kelel za mishahara kutopanda daraja never..Hutakaa usikie πŸ˜… maana seminar zipo
 
Kuiga ujinga kutoka kwa mtu mwingine hakuhalalishi ujinga huo wala hakufanyi ujinga huo kuwa ni jambo zuri.Rudi shule ukajifunze jinsi ya kufikiri sawasawa.
 
Wewe ni mburura hakuna unachojua Kuhusu uchumi.Uliposema Hata kibanda huna sijui mchumi was makaratasi nakajua umebobea kwenye umburula..Economics na kumiliki vibanda wapi na wapi?..

Unaelewa Hata dhima ya SoMo la uchumi wewe kweli? Napata kinyaa kukujibu ila nitajikaza..

Uchumi wa Samia ni WA kiliberali yaani anaamini kwenye free market economy ndio maana unakuta anapigana huku na kule kuleta wawekezaji ambao wameanza kumiminika na wewe unajua..

Huo ujinga wako unaoita kuzurura ndio anafanya ku lure na ku lobby investors,bwanako mwendazake alikuwa adui ya wawekezaji na wenye pesa ndio maana alikoma kuomba wimbo wa Tzn ya viwanda kwa aibu,alikuwa ni muumini wa itikadi primitive communalism.Mnajua kutumia ila kutafuta/kuzalisha hamjui..

Swala la kupanda Kwa gharama za maisha as a result ni global phenomenon na partly athari za sera mbovu za mwendazake..Hai make sense na kichaa kama wewe ndio mnaweza amini uchumi mlioharibu miaka 6 eti Mama aujenge kwa miezi 8..

Mwisho hakuna mradi uliosimama kilichosimama ni propaganda na mbwembwe za kujimwambafy,this time around hazipo ndio maana huna hata ushahidi wa kuthibitisha huo mradi uliosimama..

Miaka 6 hamkukamilisha hata mradi mmja hadi madarasa yaliwashinda ndionataka Samia awakamiliehie kwa miezi 8? Hamna akili shenzi zenu.
 
Nyingi wajinga wajinga na serkali yenu ya mazuzu kila siku kusingizia Magufuli miradi umesimama mnatuletea ngonjera!
Kama miradi imesimama ilikuaje hamkukamilisha kwa miaka yote 6? Mlitaka aje awakamiliehie Samia kwa miezi 8? Pumbavu sana viazi wakubwa nyie.

By the way taja hiyo miradi iliyosimama.
 
Hapa tatizo siyo tozo kwenye miamala ya simu,hata huko Ghana ipo hapa tatizo ni viwango vikubwa vinapitishwa bungeni bila mbunge yeyote kuhoji huu mzigo mkubwa kubebeshwa wananchi na waziri kujibu wananchi wanapolalamika tozo kubwa anawajibu kwa kejeli na matusi kuwa wasiotaka kulipa wahamie Burundi halafu bunge wanacheka bila kukerwa na mambo ya ovyo kama haya wala kukemea hapo sasa kuna bunge au kijiwe fulani cha chama cha kijani
 
Kama miradi imesimama ilikuaje hamkukamilisha kwa miaka yote 6? Mlitaka aje awakamiliehie Samia kwa miezi 8? Pumbavu sana viazi wakubwa nyie.

By the way taja hiyo miradi iliyosimama.
Kwa hiyo haha inapigwa ngumi sio!? We bwege sana! Jibu hoja sio kutetea bibiako huyo! Hujaona nimeorodhesha hapo miradi inayosuasua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…