Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

kama miguna karudishwa kwao canada je Odinga atapelekwa wapi?
 
Ok,lkn kw nn Raila asingekamtwa cku hiyo hiyo!?lkn pia kw nn serikali isingezuia hayo yoote.km ilikuwa inajua kbs kuwa kuna siraha na zimetokea wp kw kz hii!! Kw nn raila aruhusiwe mpk aanze kujiapisha na mpk amalize na mpk atoroke!!Kiongoz ukitaka uwe jasiri ni lazima uushinde uoga.
 
Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Sikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .
 
Atoroke wapi, yupo hapo hapo Kenya, tena Nairobi bila shaka.
 
Vipi khs mali zake Kenya kuhusu profession yake au school of law alisomea Canada?

Ila wakenya wana vituko sana, hizi mambo nyingine huwezi zisikia nchi nyingine. Demikrasia walioitaka imekua kubwa kui handle
 
Aisee
Asante sana kwa kutufahamisha
 

Note that even the officer in the IEBC who resigned in the 9th hour during the election re-run of 26/10/2017 was of the same status as Miguna wa Miguna, dual nationality an alien!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…