pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.Aliwezaje kugombea ugavana wa Nairobi wakati yeye ni Mcanada? Au katiba ya Kenya inaruhusu?
Saaafi kbs.eti baba wa democrasia!!!??? Uoga nao uitwe democrasia.huwezi kuitwa rais mwenye mamlaka na ukawa mwoga.waajinga watakuita baba wa democrasia.kumbe ni MWOGA NA DHAIFU.Ni kweli
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini na kusimamia haki!
Ungekuwa hatari saana kama ungesoma sheria ungekuwa unateleza tuu. Hata PLO LUMUMBA hujichukulia ujiko mkubwa kwenye mada zake hasa mahakamani anapochanganya maneno haya ya kilatini na kuonekana ni mtu mwente msamiati mzito sana wa kizungu kumbe ni maneno ya kisheria ya kilatini.Persona non grata! Kilatini hiki rafiki yangu nilifanya ‘O’ level yake na nilipata credit!!
Sasa mbona HUYO ALIYEAPISHWA HACHUKULIWI HATUA.?
Waziri imesahau marais wawili wa watu. His Excellency Honourable Tundu Lissu na His Excellency Honourable Maalim Seif. Mungu wazidishie afya.Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.
Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
Ni kweliSaaafi kbs.eti baba wa democrasia!!!??? Uoga nao uitwe democrasia.huwezi kuitwa rais mwenye mamlaka na ukawa mwoga.waajinga watakuita baba wa democrasia.kumbe ni MWOGA NA DHAIFU.
Hamna hicho kituWaziri imesahau marais wawili wa watu. His Excellency Honourable Tundu Lissu na His Excellency Honourable Maalim Seif. Mungu wazidishie afya.
Hahahaha weweMzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.
Me wakenya wameniboa sana nilikuwa natarajia move nzuri watu tupate fursa sasa naona imekuwa km bongo movie tu jambazi anavua viatu kuingia ndani ili aibeSasa mbona HUYO ALIYEAPISHWA HACHUKULIWI HATUA.?
Chatokama miguna karudishwa kwao canada je Odinga atapelekwa wapi?
Sio mwoga mwenzako ameponea kwenye tundu la sindano kwenye ICC sasa afanye tena ujinga wewe vipiSikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .
Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.Bye bye Miguna Miguna! Huu mchezo haunaga huruma asee! Alisimama mbele ya wanahabari huku akikenuakenua na akiwa amejawa na kiburi. Akatangaza laivu kwamba yeye ndo jenerali wa kikundi kilichoharamishwa cha NRM. Hakuachia hapo, kisha akawaambia wadhubutu kumtia mbaroni. Alitumia maneno haya kukejeli vyombo vya usalama; 'Come baby come'! Sasa ona. Acha arudi kwao tu, maanake hamna namna!
Sasa mbona huyo muhaini mkuu hamumkamati kama kweli kujiapisha ni uhaini?, nchi yenu ni failed state, hamjui mnalolifanya wala mnalolitaka, mnamuogopa raia wenu na kuwaonea wengine, stupid country.Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Kwasababu ni nchi ya vichaa na wendawazimu ndiyo sababu hawezi kuielewa, ameulizwa swali zuri, badala ya kujibu unaleta ukichaa wako.Labda ulizaliwa jana. Wewe tulia hapo hapo, shughulika na mambo mengine. Kenya huwezi ielewa.
Sasa unalialia ya nini? Kama imekuuma sana una uhuru wa kufunga safari uje Kenya uwasilishe kesi mahakamani.Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.