GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Yaani unatumia katiba ya Tanzania kutafasiri mambo ya Kenya.Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.
Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Wana bahati mimi sio Rais wa Kenya.Ni chakula chao lakini....
View attachment 3026139
Kwa jinsi wakenya walivyo lazma wataingia barabarani,Mkuu unataka kusema vijana wataendelea kuingia barabarani licha ya jeshi kumwagwa barabarani? Na Ruto ataachia kiti kweli?
Hii kitaalamu tunaita kazi na dawa. Safi sana. ๐Ni chakula chao lakini....
View attachment 3026139
Wabongo hawawezi kuchoka, watu wanajali usimba na uyanga kuliko hata kula kwao, hahaWatu huwa wanachoka mkuu.
Umma ukichoka hakuna wa kuzuia
Wabongo bwana kwa kuhamasisha ๐คฃ๐คฃ๐คฃFailed state
Raia wakichukia hata hizo risasi hawaogopi.
Serikali za Africa zijifunze ubabe sio mzuri.
Ruto Must Go!! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃWabongo bwana kwa kuhamasisha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Usicheze na watoto wa mjini kama Uhuru,kuna watu wako behind this issueToo late, Rutto anavizia hela za kupeleka Polisi Haiti, kwa hiyo anataka kuonyesha jeshi lake linaheshimu haki za binadamu, Hii imesham-cost kisiasa, angeweza kuzuia maandamano mapema tu. Hii ni Afrika, inapobidi, piga rungu kweli kweli
Sasa hivi Rigathi Gachagua anachekea chooni
ICC asiende Netanyahu, Putin aende Ruto. Hiki kikaragosi ICC kiko overrated tuAsije kurudi ICC tu
Haya Mimi naona kuna Jambo litatokea kwa jiraniNdio mwanzo wa wajeda kuigeuka serikali.
Kwa sisi wa tanzania kuchoka kufikia kama wa kenya itatuchukua miaka mingi sana kwa aina ya tabia zetu tulizo nazoWatu huwa wanachoka mkuu.
Umma ukichoka hakuna wa kuzuia
๐๐๐Enhee
Hahaha! Ubweche wa wabunge wanapeleka pwani!Ni chakula chao lakini....
View attachment 3026139