Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
- Thread starter
-
- #41
Pita hivi hayakuhusu unafanya Nini kwenye Uzi huu.Unalieta habari za kusikia humu fanya utafiti uje na ushahidi wa kuthibitisha acha uchochezi ya wamarekani na wairani wachie hayakuhusu
If is not the world, They should concentrate with what?Sad enough some people completely concentrate with this world.
Nothing makes sense around us in this world.If is not the world, They should concentrate with what?
including you!Lgbtq+ utawajua tuuuπ
Wewe na akili yako umekaza fuvu kuandika utumbo wa bata unaoneka team Upinde kabisaHili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.
IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.
Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Upeo mdogo sihangaiki na wewe.Wewe na akili yako umekaza fuvu kuandika utumbo wa bata unaoneka team Upinde kabisa
Marekan hakuna hizo siasa za kipuuz kama za Afrika na Mashariki ya katiYaani hata Wamarekani wenyewe wanajua huu ni uzishi wa Hali ya juu wenye lengo la kutaka kupoteza ushahidi,kuficha ukweli na kuficha aibu kwa Dunia juu ya Wamarekani waliotaka kumuua Trump.
Hata trump mwenyewe anawashangaa wamarekani wenzake.
Huu mwaka kazi mnayo Donald Fredrick Trump anajua ukweli wote.........Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.
IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.
Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
kwa akili zako hizo mtaendelea kuuana sana , mnauana wenyewe mnasingizia marekani mf yanayoendelea msumbiji mtasingizia wazungu pia wakati serikali ilikuwa inawatesa ana kuwaua wananchi mliona sw tu , the same kwa Tz serikali inatesa na kuua wananchi mnaona sw kisa ww sio mhanga na siku wahanga wakipata silaha wakaanza jibu mapigo mtaanza msingizia marekani , the same story kwa Somalia ya Bare , Libyia ya Gadaf , Syria ya Assad , Sudan ya Al Bashiri aliyeunda kansa ndan ya jamii za kisudani kwa kulea ukanda , Iraq ya Sadaf aliyeoendelea Sunni dhidi ya Shia , Yemen pia , Mali , Msumbiji ya FRELIMO na hata Drc ya Joseph Kasavimbi aliyejali maslai yake na kusahau kuifanya Drc kuwa moja akaja iacha nchi kwenye mateso ya miaka na miakaSo wamarekani ndo wana leseni ya kuua wengine na kuchafua amani ya dunia?
Kwa Reagan ilikuwaje!?Marekan hakuna hizo siasa za kipuuz kama za Afrika na Mashariki ya kati
unawachuuza wenzio wewe ukiwa majimatitu unakula supu ya mapupu....Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.
IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.
Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Nimewachukia kivipiunawachuuza wenzio wewe ukiwa majimatitu unakula supu ya mapupu....
Duh shida nini chief.Ficha ujinga wako basi,,,,
Katika shambulio la juzi Iran hawahusiki, Iran wamehusishwa na shambulio lingune ambalo inasemekana limepangwa kufanyikaHili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.
IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.
Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU
Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
mbona wanajua?! Hata huku kwetu Uswazi unaitwa mchezo wa kisilamu wanafumuana Malinda kkyππππMkuu Mimi Simo shauri Yako wajuba wakija.
Wewe mwenye akili kubwa unadhani umenielewa? Baki na umarekani wako..ukifa acha wosia wakuzike white house bata wahed!kwa akili zako hizo mtaendelea kuuana sana , mnauana wenyewe mnasingizia marekani mf yanayoendelea msumbiji mtasingizia wazungu pia wakati serikali ilikuwa inawatesa ana kuwaua wananchi mliona sw tu , the same kwa Tz serikali inatesa na kuua wananchi mnaona sw kisa ww sio mhanga na siku wahanga wakipata silaha wakaanza jibu mapigo mtaanza msingizia marekani , the same story kwa Somalia ya Bare , Libyia ya Gadaf , Syria ya Assad , Sudan ya Al Bashiri aliyeunda kansa ndan ya jamii za kisudani kwa kulea ukanda , Iraq ya Sadaf aliyeoendelea Sunni dhidi ya Shia , Yemen pia , Mali , Msumbiji ya FRELIMO na hata Drc ya Joseph Kasavimbi aliyejali maslai yake na kusahau kuifanya Drc kuwa moja akaja iacha nchi kwenye mateso ya miaka na miaka