kwa akili zako hizo mtaendelea kuuana sana , mnauana wenyewe mnasingizia marekani mf yanayoendelea msumbiji mtasingizia wazungu pia wakati serikali ilikuwa inawatesa ana kuwaua wananchi mliona sw tu , the same kwa Tz serikali inatesa na kuua wananchi mnaona sw kisa ww sio mhanga na siku wahanga wakipata silaha wakaanza jibu mapigo mtaanza msingizia marekani , the same story kwa Somalia ya Bare , Libyia ya Gadaf , Syria ya Assad , Sudan ya Al Bashiri aliyeunda kansa ndan ya jamii za kisudani kwa kulea ukanda , Iraq ya Sadaf aliyeoendelea Sunni dhidi ya Shia , Yemen pia , Mali , Msumbiji ya FRELIMO na hata Drc ya Joseph Kasavimbi aliyejali maslai yake na kusahau kuifanya Drc kuwa moja akaja iacha nchi kwenye mateso ya miaka na miaka