Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Wewe na akili yako umekaza fuvu kuandika utumbo wa bata unaoneka team Upinde kabisa
 
Attachments

  • IMG_20240712_134524.jpg
    IMG_20240712_134524.jpg
    97.8 KB · Views: 1
Yaani hata Wamarekani wenyewe wanajua huu ni uzishi wa Hali ya juu wenye lengo la kutaka kupoteza ushahidi,kuficha ukweli na kuficha aibu kwa Dunia juu ya Wamarekani waliotaka kumuua Trump.
Hata trump mwenyewe anawashangaa wamarekani wenzake.
Marekan hakuna hizo siasa za kipuuz kama za Afrika na Mashariki ya kati
 
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Huu mwaka kazi mnayo Donald Fredrick Trump anajua ukweli wote.........
 
So wamarekani ndo wana leseni ya kuua wengine na kuchafua amani ya dunia?
kwa akili zako hizo mtaendelea kuuana sana , mnauana wenyewe mnasingizia marekani mf yanayoendelea msumbiji mtasingizia wazungu pia wakati serikali ilikuwa inawatesa ana kuwaua wananchi mliona sw tu , the same kwa Tz serikali inatesa na kuua wananchi mnaona sw kisa ww sio mhanga na siku wahanga wakipata silaha wakaanza jibu mapigo mtaanza msingizia marekani , the same story kwa Somalia ya Bare , Libyia ya Gadaf , Syria ya Assad , Sudan ya Al Bashiri aliyeunda kansa ndan ya jamii za kisudani kwa kulea ukanda , Iraq ya Sadaf aliyeoendelea Sunni dhidi ya Shia , Yemen pia , Mali , Msumbiji ya FRELIMO na hata Drc ya Joseph Kasavimbi aliyejali maslai yake na kusahau kuifanya Drc kuwa moja akaja iacha nchi kwenye mateso ya miaka na miaka
 
Marekan hakuna hizo siasa za kipuuz kama za Afrika na Mashariki ya kati
Kwa Reagan ilikuwaje!?
Au huijui vema historia ya USA!?
Viongozi kuwindana iliwahi tokea kwao na kama wakifanya sasa hivi ni sawa na kurudia ya nyuma.
 
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
unawachuuza wenzio wewe ukiwa majimatitu unakula supu ya mapupu....
 
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya wahuni hawa.

IRI imekuwa ikiunga mkono makundi hatarishi ya kigaidi duniani kote kuanzia mashabiki ya kati na Magharibi ya Afrika.

Povu ruksa kwa wavaa kobazi.
Cc incredible terminator
bwanautamu12
BWANA UTAMU

Moderator kichwa Cha habari kisomeke kujaribu badala ya kuharibu
Katika shambulio la juzi Iran hawahusiki, Iran wamehusishwa na shambulio lingune ambalo inasemekana limepangwa kufanyika
 
kwa akili zako hizo mtaendelea kuuana sana , mnauana wenyewe mnasingizia marekani mf yanayoendelea msumbiji mtasingizia wazungu pia wakati serikali ilikuwa inawatesa ana kuwaua wananchi mliona sw tu , the same kwa Tz serikali inatesa na kuua wananchi mnaona sw kisa ww sio mhanga na siku wahanga wakipata silaha wakaanza jibu mapigo mtaanza msingizia marekani , the same story kwa Somalia ya Bare , Libyia ya Gadaf , Syria ya Assad , Sudan ya Al Bashiri aliyeunda kansa ndan ya jamii za kisudani kwa kulea ukanda , Iraq ya Sadaf aliyeoendelea Sunni dhidi ya Shia , Yemen pia , Mali , Msumbiji ya FRELIMO na hata Drc ya Joseph Kasavimbi aliyejali maslai yake na kusahau kuifanya Drc kuwa moja akaja iacha nchi kwenye mateso ya miaka na miaka
Wewe mwenye akili kubwa unadhani umenielewa? Baki na umarekani wako..ukifa acha wosia wakuzike white house bata wahed!
 
Back
Top Bottom