Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Sovereignty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkipewa misaada mnawaita wahisani, wakiwakosoa mnawaita mabeberu ..huo ni upimbiuna uhakika na ulichokiandka ?
Huoni police wanachowafanyia wapinzani au unajitoa ufahamuAmini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz
sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
wanakusanya mlolongo wa matukio.
muda ni jibu!
Na tuendelee na moyo huo wa kutokandamizana. Tuwakemee wale wahuni wachoma ofisi Arusha, watupa mawe Hai, na yule polisi Mbeya.
Tuwakemee wote wa aina hii washindwe na walegee.
Kumnanga ndo kuchoma ofisi na kurusha mawe? Hakuna alama mtaacha ona mwaka huuMbona Trump kamnanga yule mama mgombea mwenza wa Bidden
Ww ndo utakuwa huna kichwa wala miguu ..
Mpaka sasa kuna jambo gani lililofanyika baya kwa hao wapinzani.Tunamulikwa kwa taa yenye mwanga mkali mno.Tulistulia kwa Makonda kufungiwa kwenda USA tukatia kejeli sasa tena tunakumbushwa.
CCM mtashinda uchaguzi huu bila shaka yoyote,ondoeni mikono yenu kwenye vyombo vya dola ili tuwasaidie kushangilia ushindi na kuwazomea walioshindwa.
Kwani Magufili ana rafiki au maslahi??Marekani hanaga rafiki zaidi ya maslahi
Hakuna cha ze hegi wala ze yai.wauwaji akina Bush,Mohammed bin Salman,Museven,Nkuruvinza na Kagame n.k mpaka sasa wangekuwa the haugue.Kwa hiyo ze hegi inaweza muhisu mtu kama damu ikimwagika
Hii lugha ya kusema mabeberu/mabwana hii si ya kistaarabu. Halafu wanajua mnawaita hivyo ni dharau, ni dharau ni dharau. Wakileta misaada mnawaita wafadhili. Hamna uhakika huyo Lissu au wapinzani wamesaidiwaje zaidi ya wengi kujua nchi yetu bado inapokea misaada kutoka kwao.Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz
sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
Ufungeni ubalozi wao kama mnaweza, kwa nini mnawachelewesha hawa!!Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz
sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
Sawa tumwombee uzima Rais wetuHakuna cha ze hegi wala ze yai.wauwaji akina Bush,Mohammed bin Salman, Museven, Nkuruvinza na Kagame n.k mpaka sasa wangekuwa the haugue...
Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz
sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
Sawa mkuu.Sawa tumwombee uzima rais wetu
Ndugu yangu ni angalau wao wana demokrasia inayoonekana hata wanawezajivunia mbele ya macho ya dunia sio sisi! Tangu zoezi la kutafta wadhamini lilipoanza matendo na hatua zilizochuliwa na serikali na vikundi vya wahuni ni kielelezo tosha kuwa demokrasia yetu ina shida! Mifano ni kama vile:Mbona Trump kamnanga yule mama mgombea mwenza wa Bidden
Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz
sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
KAMA TANGANYIKA ILIVO NA MASLAHI NA ZANZIBARMarekani hanaga rafiki zaidi ya maslahi