Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Huu uchaguzi hakuna aliye na upinzan isipokuwa umma maana hata viongoz wa din holla basi acha Marekan wawe nasi tu
 
Marekani kwa Sasa wanakurupuka kwenye kutoa matamko yao. Ndio maana wenye akili tunawaona wapuuzi tuu kama wapuuzi wengine. Rejea tamko juu ya kilichoitwa Kushambuliwa na kuvunjwa vunjwa miguu kwa Mbowe.

Kama intelligence yao ilishindwa kujua kuwa Mbowe hakushambuliwa bali aliteleza tuu na kupata mshituko wa Kifundo Cha Mguu, wanatudhihirishiaje kuwa ofisi za Chadema- Arusha zimechomwa na watu wa Serikali na si Wana Chadema wenyewe Kama sehemu ya kutafuta public Attention?
 
Hakuna cha ze hegi wala ze yai.wauwaji akina Bush,Mohammed bin Salman,Museven,Nkuruvinza na Kagame n.k mpaka sasa wangekuwa the haugue...
Wazungu wakikuchukia watakuvaa tu! Tusiige ya mtu tutende Haqi na ionekane! waliwahi kumbeba mkuu wa nchi!
 
Kwani USA huwa wanapenda haki itendeke au huwa wanataka watu wenye maslahi nao wapate madaraka na wao wachume kwa uhuru?
 
Tabasamu la aliyeshindwa kufanya Mambo kwa weledi, Huamua kutangaza mamlaka na ukuu alionao, mwenye hekima hutafakari kwa kina namna ya kusimama kileleni.
 
mpaka sasa hakuna ushahidi nan aliyechoma ofisi ya chadema, alafu kwanini ofisi kubwa vile washindwe kuajiri walinzi imara kama suma JKT?

waliorusha mawe ni wananchi wa kawaida tu..

Ninayo mengine wala si jingine tu.

Wananchi wa kawaida ndiyo kina nani? Wao ndiyo wanaruhusiwa kudhuru watu na mali zao? Au ni wale wasiojulikana mnaojulikana?

Sugu alikwenda kuchukua fomu. Kosa lake lilikuwa nini? Kama alikuwa na kosa mbona tume walimpa fomu?

Kuchomwa ofisi wa kulaumiwa ni mwenye ofisi? Ila mchomaji ndiye shujaa? Siyo yale ya mbakwaji kulaumiwa kwa kumsababishia mbakaji balaa la pepo mbaya?

Kwa majibu yako mepesi mepesi waona umekwisha yajibu yote vilivyo na sasa issues closed?

Hivi mnapokuwa hamjulikani huwa mnafikiria rationally kama binadamu wengine? Au huwa mnaniga uhayawani kamili kwanza kuwa ndiyo mavalio yenu rasmi ya kazi?
 
Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz

sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?
Hivi naomba kuuliza ukishakuwa kijani kufikiri nako kunaisha!?
 
Tukiwaambia ametumwa mnakasilika. Tehe
Nani anakasirika? hii game haihitaji hasira hata chembe. waulizeni wapambe wa Gaddafi & Saddam kama bado wapo... ni suala la muda tu!
 
Amini nawaambieni TL anajua kabisa hawezi kushinda ila mabwana zake wanachotaka ni kuona vurugu za kisiasa tu Tz

sasa mpaka sasa upinzani umekandamizwa wap?

Kama nawe unalijua hilo la Mabwana, nini kifanyike kwa akili yako ili kusiwe na vurugu?

Akili ni kuja na ufumbuzi wa matatizo kabla hayajatokea. Ni wakati wa kutumia akili sasa.
 
Haya maonyo kumbe yanasaidia. Sikuizi naona Polisi wamepunguza kuwaonea wapinzani. Nawashauri Wamarekani waliofanya uchunguzi wa shambulio la Lisu pale Dodoma wasubiri siku 3 kabla ya uchaguzi ndio waitoe ile riport na Video yake.

Tunataka tuwaone wasiojulikana na wakubwa waliotoa maagizo.
 
Mwambieni balozi wa Marekani atulie, tunayajua yanayotekea marekani na hatujawahi kuingilia
 
Back
Top Bottom