Hawawezi kukubali
Mkuu hata mimi pia nimeshangaa wakati hata mimi pale ninayanguahahaha mkuu mimi mwenyewe ninayo moja usiseme nayo niyake
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Haya maneno yalikuwaga kipindi kile kwa ridhiwani, kila petrol station mpya tuliambiwa yake, kila ghorofa jipya lake! Leo wamesahau
Halafu wakasema Baba yake akitoka watamkomesha lakini hadi leo kimyaNakumbuka kipindi kile kila petrol station mpya ilikuwa ya ridhiwani, kila jengo jipya kubwa ni la ridhiwani! Watu wanaenda na upepo
Awamu zijazo zitaruhusu tu hakuna shida,mali za wapigaji wote zitataifishwa tu wananchi watunze tu vielelezo.Wanaishi nyumba za vioo hao hakuna shida
Vipi kama rais ajaye ana connection nae?.Je,hatalindwa?Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
ana nyumba (villa houses) kijiji kigamboni gezaulolekwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
kwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Ahahahhaha choMupe muruke
Ova
Zile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.
Kwa kumuogopa naniIli mbadili umiliki?
Zile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.
Umesema tuwatajie?. Nyie ndio group gani mbali na sisi waTanzania?. Tuwatajie nyie ndio group la tabaka la juu? Group la kujichotea chochote hakuna wa kuhoji?kwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Siyo Urusi peke yake, hata South Afrika: mfano ni Raisi wao Ramaphosa, Tokyo Sexwale na wengine wametajirishwaLabda serikali inataka kutengeneza “oligarchs” kama kule Urusi. Ambapo serikali ina watu wake imewatajirisha na inawalinda. System nzuri kwa srikali ya kidikteta kama ile ya Putin.
Duh Ile yakeana nyumba (villa houses) kijiji kigamboni gezaulole
Ninacho shangazwa na wakati huu tulio nao ni kuona mtu anajitanabaisha kuwa yeye ni mjinga kisha anaona fahari kabisa wengine kumtambua kuwa ni mjinga.Kwanza Gazeti lenyewe tu lililoandika kichefu chefu, hebu kapekueni madudu ya wagombea wenu huko kwenye chama chenu ili mpate watu wenye akili kidogo za kuwaongoza, maana mmeshindwa kutaja hata hizo mali tu.
Bashite ni mmoja wa watunza mali za Jiwe,yeye anakula makombo tu .