Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Raisi Aliwasamehe askari polisi walioshriki kutorosha dhahabu kule mwanza hamkushtuka, raisi kusamehe wahalifu??

Sasa anamkingia kifua Makonda asikaguliwe

Alafu anadai kupambana na ufisadi na vita hewa ya uchumi
 
Kwanza Gazeti lenyewe tu lililoandika kichefu chefu, hebu kapekueni madudu ya wagombea wenu huko kwenye chama chenu ili mpate watu wenye akili kidogo za kuwaongoza, maana mmeshindwa kutaja hata hizo mali tu.
 
Basht: Bebii wanaanza kunifuatilia eti wanasema hizi mali "zetu" zote ni zangu eti. Unaonaje niwaambie beibi kuwa zi zetu halafu unajua share yako ni kubwa nakutunzia tu miye.
MG: Usijali hawana cha kutufanya hao viromoromo Nitawashurikia wote. Tafuta kiongozi wao tumteke na kumzamisha baharini kabisa.
Basht: Nimewaagiza vijana wanafuatilia mitandao. Tutazamisha hata 1000 sasa ngoja tu hawaelewi kuwa mimi ni beibi wako?
MG: Haya njoo unipe haki yangu sasa!
 
Mimi kujenga logde na kununua rav4 used wamekuja watu kupiga picha mali zangu daa poa tu.
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
 
Ndipo hapo ninaposhangaa kwa "double standards" za hali ya juu za serikali hii ya awamu ya tano kutokana na maamuzi yake

Hivi inakuwaje Serikali inayodai kuwa ina "zero tolerance" katika suala la rushwa, hapo hapo iwe inaangalia sura wa yupi wa kushughulikiwa na yupi aachwe??

Sisi wananchi tunaofuatilia mienendo ya Serikali hii tunadiriki kusema kuwa, serikali hii ya awamu ya tano ndiyo itakayoweka rekodi kwa viongozi wake kupokea rushwa kubwa, kuliko wakati wowote tokea nchi yetu ipate Uhuru wake toka kwa mkoloni!
 
Kwani wasukuma si watz? Hata wachaga watamuomba aendelee kuwanyosha mafisadi na mawakala wao mpaka 2035
Unajua 2035 ni miaka mingapi toka sasa, watu mna mikataba ya kuishi na Mungu eh!
 
Hahahahhahhhahhahahhahhahhah mbona kama nasikia raha flani hivi
 

Makonda kijana wa 1982 na ana utajiri kuliko akina NJELU KASAKA , ABBAS KANDORO , YUSUPH MAKAMBA NA SHIRIMA.

Makonda amepewa mali nyingi na GSM in return amekuwa akiwapendelea na kuagiza wapewe kandarasi na pia wasibugudhiwe kweye biashara zao.
amekuwa akipata mavazi ya mtoto anayesemekana ni wa kupandikiza huko "kwa mabeberu kama ambavyo yeye na jiwe wana kashfu watu wanaowasaidia"

amejengewa ghorofa misungwi mwanza kwa fedha za Mo Dewji na mengine mengi hapa tutawaletea muda unavyo taradad
 
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Hizo nguvu nyingine kwa makonda mnampa kwenye mitandao kiuhalisia hana kuna watu kama Mo unaweza kuwafanyia figisu lakini ni ngumu kuwafanyia hostile takeover Inahitaji akili kubwa zaidi ya mnayoitaja
 
Tunataka kuwa na mabilionia kama mia moja pale tunapomaliza muhula wetu wa uongozi, alisikika jamaa mmoja toka pande za kanda ya nyonyo
 
Kuna mtu anaweza weka list ya utajiri/mali anazomiliki Makonda/Bashite?
 
Back
Top Bottom