Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa michongo hata mashahidi wao waliopangwa kushuhudia "uongo" dhidi ya Mwenyekiti Mbowe, nao ni wa michongo!

Kitu kingine ambacho kimekuwa ni kibaya zaidi na kimeleta taswira mbaya zaidi kwa Taifa letu kwa Jumuiya ya kimataifa, nao wamebaini kuwa Kesi hiyo ni ya kisiasa.

Kulithibitisha hilo ni namna mabalozi wa nchi za Magharibi wanavyoifuatilia kwa ukaribu mno kesi hiyo na hawapendi kukosa hata "session" moja ya Kesi hiyo.

Hii Kesi pia imepata "coverage" kubwa Sana kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kuvitaja vichache tu Kati ya vyombo hivyo ni BBC World, Al jazeera na CNN.

Imefikia hatua Kesi hiyo imepiga hodi hadi kwenye viunga vya Bunge la Ulaya na imejadiliwa kwa kina, kuwa Kesi hiyo ni ya kisiasa na Bunge hilo limemtaka Rais Samia, aifute Kesi hiyo bila masharti yoyote yale, ama sivyo nchi yetu iwe Katika "risk" ya kibano cha kukosa misaada mikubwa inayotoka kwenye Jumuiya hiyo ya Ulaya.

Kutokana na Hali hiyo tete, serikali ya Rais Samia, imekuwa ikifikiria namna itakavyoondokana na fedheha hiyo kubwa na ikifikiria namna bora zaidi ya kuifuta Kesi hiyo bila kupata aibu kubwa kutoka kwa watanzania na Jumuiya ya kimataifa.

Ndiyo wamekuja na "Plan A" ya kupanga kikao cha Baraza la vyama vya siasa na msajili wa vyama vya siasa pamoja na Jeshi la Polisi, kujadili kile walichokiita namna bora zaidi ya kuendesha shughuli za kisiasa nchini, huku wakipanga kumwalika Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kukifungua kikao hicho.

Kitu kingine ambacho "kilipangwa" ni kumteua mwanasiasa Zitto Kabwe, awe ndiyo msemaji mkuu wa kambi ya upinzani nchini na kumomba Rais Samia Ili aweze kuwa na huruma na kumuachia huru.

Hivi kwa Mwenyekiti Mbowe kutekeleza wajibu wake kama kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, kuwashawishi wananchi Ili kuishinikiza serikali ikubali kuwa na Katiba mpya ya nchi, nalo ni kosa hadi abambikiwe Kesi ya ugaidi?

Hivi kwa walomsikiliza Rais Samia akijibu hoja hiyo ya Zitto, kuwa Mbowe alivunja sheria na anapaswa kuwa mtii kwa mamlaka iliyopo madarakani, hivi hayo majibu yana busara kweli??

Rais Samia kujifanyia kama hayajui majukumu ya wapinzani nchini ndiyo kujenga ile demokrasia anyoiita "vibrant" nchini?

Sasa imefika hatua shinikizo limekuwa kubwa sana kutoka kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani na kwa wanaharakati kutoka ndani ya nchi na Jumiya ya kimataifa kuitaka serikali ya Rais Samia, iifute Kesi hiyo ya "kubambika" na serikali imelazimika kuwa haina "option" nyingine zaidi ya kusalimu amri na kufikiria kumwachia Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote!
 
Kimsingi wanapaswa kumfutia Mbowe kesi, na sio kumsamehe kama wanavyotaka kuidanganya dunia.
Kwasasa hawana la kufanya tena, kwakua tayari dunia imesha ujua ukweli na tayari aibu imewapata imewalazimu kuchutama...teh😂
 
Kwa jinsi mwenendo wa Kesi hii ulivyokuwa ukienda, imethibitika pasipo shaka yoyote kuwa, hapa nchini hakuna asiyejua kuwa, Mahakama+Jeshi la Polisi=Sisiem

Kwa maana nyingine dai la Katiba mpya lipewe kipaumbele cha kwanza hivi sasa kwa kila Mwananchi
 
Zittoooooo !!!
IMG-20211216-WA0224.jpg
 
Kwa jinsi mwenendo wa Kesi hii ulivyokuwa ukienda, imethibitika pasipo shaka yoyote kuwa, hapa nchini hakuna asiyejua kuwa, Mahakama+Jeshi la Polisi=Sisiem
Kwa vile majeshi yana utii (wa lazima na wakati mwingine wa kizuzu) kwa serikali,wanataka kila mtu aoneshe uoga na ujinga kwa hiyo serikali hata kama haki za kikatiba zinasiginwa?
 
Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa michongo hata mashahidi wao waliopangwa kushuhudia "uongo" dhidi ya Mwenyekiti Mbowe, nao ni wa michongo!

Kitu kingine ambacho kimekuwa ni kibaya zaidi na kimeleta taswira mbaya zaidi kwa Taifa letu kwa Jumuiya ya kimataifa, nao wamebaini kuwa Kesi hiyo ni ya kisiasa.

Kulithibitisha hilo ni namna mabalozi wa nchi za Magharibi wanavyoifuatilia kwa ukaribu mno kesi hiyo na hawapendi kukosa hata "session" moja ya Kesi hiyo.

Hii Kesi pia imepata "coverage" kubwa Sana kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kuvitaja vichache tu Kati ya vyombo hivyo ni BBC World, Al jazeera na CNN.

Imefikia hatua Kesi hiyo imepiga hodi hadi kwenye viunga vya Bunge la Ulaya na imejadiliwa kwa kina, kuwa Kesi hiyo ni ya kisiasa na Bunge hilo limemtaka Rais Samia, aifute Kesi hiyo bila masharti yoyote yale, ama sivyo nchi yetu iwe Katika "risk" ya kibano cha kukosa misaada mikubwa inayotoka kwenye Jumuiya hiyo ya Ulaya.

Kutokana na Hali hiyo tete, serikali ya Rais Samia, imekuwa ikifikiria namna itakavyoondokana na fedheha hiyo kubwa na ikifikiria namna bora zaidi ya kuifuta Kesi hiyo bila kupata aibu kubwa kutoka kwa watanzania na Jumuiya ya kimataifa.

Ndiyo wamekuja na "Plan A" ya kupanga kikao cha Baraza la vyama vya siasa na msajili wa vyama vya siasa pamoja na Jeshi la Polisi, kujadili kile walichokiita namna bora zaidi ya kuendesha shughuli za kisiasa nchini, huku wakipanga kumwalika Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kukifungua kikao hicho.

Kitu kingine ambacho "kilipangwa" ni kumteua mwanasiasa Zitto Kabwe, awe ndiyo msemaji mkuu wa kambi ya upinzani nchini na kumomba Rais Samia Ili aweze kuwa na huruma na kumuachia huru.

Hivi kwa Mwenyekiti Mbowe kutekeleza wajibu wake kama kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, kuwashawishi wananchi Ili kuishinikiza serikali ikubali kuwa na Katiba mpya ya nchi, nalo ni kosa hadi abambikiwe Kesi ya ugaidi?

Hivi kwa walomsikiliza Rais Samia akijibu hoja hiyo ya Zitto, kuwa Mbowe alivunja sheria na anapaswa kuwa mtii kwa mamlaka iliyopo madarakani, hivi hayo majibu yana busara kweli??

Hivi Rais Samia kujifanyia kama hayajui majukumu ya wapinzani nchini ndiyo kujenga ile demokrasia anyoiita "vibrant" nchini?

Sasa imefika hatua shinikizo limekuwa kubwa sana kutoka kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani na kwa wanaharakati kutoka ndani ya nchi na Jumiya ya kimataifa kuitaka serikali ya Rais Samia, iifute Kesi hiyo ya "kubambika" na serikali imelazimika kuwa haina "option" nyingine zaidi ya kusalimu amri na kufikiria kumwachia Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote!
Umeongea too imortional Sana
1.Zitto hakuomba msamaha
2.Serikali /mamlaka hazilazimiki kwa kuwa hii kesi haiwezi kuwaondoa madarakani na Wala hawaoni aibu kuongea uongo refer tukio la kushambulia Lissu ndio utajua nani aliondoa cctv camera na majibu yalikuaje?
Je reaction ya kimataifa na toka kwa wananchi ilikuaje
 
Itapendeza sana kama wange mwachia kabla ya X-mas & Mwaka mpya ili akajumuike na familia yake.
 
Umeongea too imortional Sana
1.Zitto hakuomba msamaha
2.Serikali /mamlaka hazilazimiki kwa kuwa hii kesi haiwezi kuwaondoa madarakani na Wala hawaoni aibu kuongea uongo refer tukio la kushambulia Lissu ndio utajua nani aliondoa cctv camera na majibu yalikuaje?
Je reaction ya kimataifa na toka kwa wananchi ilikuaje
Hebu jiulize hivi Taifa lililo "civilized" linaweza kutopeleleza Kesi ya kumiminiwa risasi, mchana kweupe, tena kwenye makazi ya waheshimiwa, tena kwenye CCTV camera, kama alivyofanyiwa Tundu Lissu?
 
Ama kweli alichoongea Waziri wa Mambo ya ndani kuwa Qualification ya kuingia Jeshi la Polisi, ni uwe na division 4 ya kidato cha nne imejidhihirisha
Nenda Duniani kote uniambie Majority ya Polisi/Majeshi wana elimu gani. 75℅ ni elimu ya kawaida then specialization ni kwenye taaluma husika. Tatizo lenu Tz msomi ni yule anayekwenda elimu hii ya UDSM, MZUMBE, TUMAINI, HURIA nk.

Nendeni China, India, USA nk nk ndipo mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom