Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

Samia akitaka kujisafisha na huu uhuni awawajibishe wote waliompotosha hadi kumuingiza mkenge wa kusema uongo na kutoa hukumu kwa mtu asiyekuwa na hatia. Kusema kweli kabisa mojawapo ya mambo yaliyomshushia hadhi na heshima Rais wetu ni hii kesi ya Mbowe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wale waliokuwa wanasita kumkabidhi madaraka baada ya kifo cha dikteta walikuwa sahihi kabisa. Ni janga nchi kuongozwa na watu wenye iq ndogo kwa miaka 10 mfululizo
 
Kimsingi wanapaswa kumfutia Mbowe kesi, na sio kumsamehe kama wanavyotaka kuidanganya dunia.
Kwasasa hawana la kufanya tena, kwakua tayari dunia imesha ujua ukweli na tayari aibu imewapata imewalazimu kuchutama...teh😂
Wanaona aibu kubwa sn
 
Sasa failure mnamkabidhi vipi kusimamia sheria na tarativu
 
Kesi haifutwi, ipo inarindima kama kawaida.
Na kituko cha leo Jaji kanyofoa baadhi ya kurasa za kielelezo ili kikidhi vigezo na kukipokea mahakamani.
 
Hv unadhn uongozi kuwa na elimu kubwa???
Wale waliokuwa wanasita kumkabidhi madaraka baada ya kifo cha dikteta walikuwa sahihi kabisa. Ni janga nchi kuongozwa na watu wenye iq ndogo kwa miaka 10 mfululizo
 
Hawa akina Zitto ni "Political Opportunists", hawana lolote wako kwenye siasa kuganga njaa tu ndio maana wanatumiwa na ccm kukidhi matakwa yao.

Yeye nani alimtuma akajipendekeze kwa serikali wakati anafahamu fika kwamba kesi hii ni ya kubumba na Mbowe hawezi kuomba msamaha kwa sababu hana kosa.

Labda kosa kubwa la Mbowe ni kukataa kuwauzia ccm chama kama alivyotaka dikteta John Pombe Joseph Magufuli na ndio sababu ya wao kubumba hii wanayoita kesi toka mwaka jana.

Sijui ni kwa nini watanzania tuna hulka ya unafiki namna hii, yaani rais anasema polisi waache kubambikia watu vyesi feki wakati tayari kesi feki iko mbele yake. Bure kabisa.
 
Mbona mnajitoa ufahamu mapema? Huko kutokuwa na options ni kwa Mama Samia tu au yake ya Magufuli mmeyasahau? Kama iliwezekana kujaribu kumtoa uhai Lissu na mpaka leo hakuna aliyekamatwa, kama iliwezekana Ben Saanane "kupotea" na mpaka leo hakuna maelezo, na kama hadi leo mmekubali matokeo kwenye ishu ya akina Halima Mdee, hiyo jeuri ya kudai Mama Samia hana option mnapata wapi? Tungependa haki itendeke lakini ukweli mchungu ni kwamba hata wakimfunga mtaishia tu kujazana upepo kwenye spesi za Maria.
 
Sasa failure mnamkabidhi vipi kusima

Ninachoamini POLISI wapo tu wengi hao wasomi wa diploma/ degree nk wa elimu za kawaida hizi lakini hata hii kada ya form 4/form 6 ni wasomi ktk field zao

Kila mtu ni msomi ktk specialization yake. Ingekuwa anachukuliwa tu Form 4 na kuambiwa Fanya kazi bila mafunzo hapo sawa. Lakini wanapelekwa mafunzoni tena ya aina tofauti na wasiofikia standard automatic wanatolewa.

Jamani msijifungie chumba cha Giza. Tokeni mtajua mengi. Nenda hapo tu Israel au USA , China, India nk nk.
 
Kesi ime Backfire kinomaa
 
Hivi na wewe Jasusi hiyo Spesi ya Maria una ugomvi nayo?? Huwezi kuongea jambo lolote bila kuitaja? Tatizo ni nini Kaka Chahali? Sasa tutaanza kukufikiria una jambo lako.

Spesi ni kama ilivyo kitandao mingine ya kijamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…