Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

Hebu jiulize hivi Taifa lililo "civilized" linaweza kutopeleleza Kesi ya kumiminiwa risasi, mchana kweupe, tena kwenye makazi ya waheshimiwa, tena kwenye CCTV camera, kama alivyofanyiwa Tundu Lissu?
Kitendo cha kulindima Risasi nyingi ktk makazi ya kiserikali( Makazi maalum) kilipaswa kuiamusha security system kwa namna yoyote ile.
 
Imefikia hatua Kesi hiyo imepiga hodi hadi kwenye viunga vya Bunge la Ulaya na imejadiliwa kwa kina, kuwa Kesi hiyo ni ya kisiasa na Bunge hilo limemtaka Rais Samia, aifute Kesi hiyo bila masharti yoyote yale, ama sivyo nchi yetu iwe Katika "risk" ya kibano cha kukosa misaada mikubwa inayotoka kwenye Jumuiya hiyo ya Ulaya.[emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Hivi kwa Mwenyekiti Mbowe kutekeleza wajibu wake kama kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, kuwashawishi wananchi Ili kuishinikiza serikali ikubali kuwa na Katiba mpya ya nchi, nalo ni kosa hadi abambikiwe Kesi ya ugaidi?
 
It started with Jinsia fragility na Umugia wa cheo chake watu wakaitumia fursa kumpa ushauri wa kipopoma ili wafaidi yao. Kila Mara anatia neno anasahau ni shauri la mahakama.
Huwa namtafakari sana. Ndio maama Ulaya na marekani pamoja na kwamba hawana Mfumo dume bado nafasi za juu za uongozi mwanamke amepewa kiduchu.

They are too emotional
 
Hivi kwa Mwenyekiti Mbowe kutekeleza wajibu wake kama kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema, kuwashawishi wananchi Ili kuishinikiza serikali ikubali kuwa na Katiba mpya ya nchi, nalo ni kosa hadi abambikiwe Kesi ya ugaidi?
njia waliyotumia kumzima imebackfire
 
Mkuu siku mbowe anaachiwa(kinyume na utaratibu) ndo siku ambayo siku tutaanzisha safari ya sabaya kuachiwa, haiwezekani 1 aachwe mwingine aonekane na kosa, na wote Ni wahanga wa kisiasa, mbowe na sabaya wapambane tu na Hali zao, kila mmoja atapata kulingana na stahiki yao..
 
ujinga wa mwisho wa mwaka 2021
 
NOT EVERYONE IS FOR SALE...

Never trade respect for attention....
 
Serikali haina option itafuta tu kesi. Saivi watajizungusha huku na kule lakini mwisho wa siku kesi itafutwa tu maana haina ishu na kungunga Mbowe kwenye ulimwengu wa siasa za kimataifa tutaonekana washenzi wa tabia na mama hatokubali hilo litokee[emoji23][emoji23]
 
Habari ya Mh Mbowe ni moja kati ya maelfu ya kesi za kubambikiana Tanzania. Sheria na wasimamiaji wake wote wamekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria hizo. Hakuna haki kuanzia ngazi ya chini kabisa huku hadi ngazi za juu huko. Mfano kuna jamaa yangu aliwahi kukamatwa na polisi, sasa eti wakamuuliza unataka tukupe kesi gani?? Au una chochote hapo tukuache huru?
Hakuna haki kabisa nchini hapa.
 
Habari ya Mh Mbowe ni moja kati ya maelfu ya kesi za kubambikiana Tanzania. Sheria na wasimamiaji wake wote wamekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria hizo. Hakuna haki kuanzia ngazi ya chini kabisa huku hadi ngazi za juu huko. Mfano kuna jamaa yangu aliwahi kukamatwa na polisi, sasa eti wakamuuliza unataka tukupe kesi gani?? Au una chochote hapo tukuache huru?
Hakuna haki kabisa nchini hapa.
 
Hivi huu ujasusi wako ulisomea Soviet union? Jaribu kusoma ujasusi wa zama hizi huko uliko ili uondokane na mitazamo mfu! Wenye Nia njema na taifa lao unawakatisha tamaa Kwa mtazamo wako wa kimarx uliokwisha jifia zama za Mikael Gorbachev! Wenye kuijua haki hawakati tamaa Kama unavyodhani! Rejea ukombozi wa Wana wa Israel dhidi ya pharaoh kabla ubwabwaje hapa! Naamini Bado unatumika na ccm Kama mwenzako mlawa but hamtakaa mshinde!
 
Umeamua kulisafisha fuvu lako ili lisianze na uchafu uliokuwemo mwakani? Comparison Iko wapi Kati ya kesi hizo? Ccm mmejazana malimbukeni watupu hakuna mweñye afadhali hata mmoja!
 
Wale waliokuwa wanasita kumkabidhi madaraka baada ya kifo cha dikteta walikuwa sahihi kabisa. Ni janga nchi kuongozwa na watu wenye iq ndogo kwa miaka 10 mfululizo
Kabisa Mkuu, wale jamaa HAKIKA WALIONA MBALI SANA. Basi wakajikuta wamezidiwa nguvu na hatimaye kufurushwa kwenye meza ya duara.
 
Hahaaaaa.......
 
Ukifikilia Sana watz toka vyama mbadala , CCm halisi baadhi , na watanzania wengi wasio kuwa na vyama ila wenye MAPENZI mema na nchii hii, ndo wazalendo wa wakweli,

Achana na wale wa kusifia ,pongeza, hata Mambo ya ajabu kisa matumbo yao

Niliowataja hapo juu , walisema , wakaonya SSH na serikali yake kwamba kosa Ili la kumfunga Mbowe KWa KESI ya kubumba haitaliacha Taifa Salama ,wakabeza


SSH akashindwa kujua kwamba watangulizi wake walikua wanaweza yote kuyafanya lakini hawakusubutu, yeye akajaa mzima mzima , ndio yeye ni rais ila pamoja na kua ni Rais yapo Mambo ni ya kuyaogopa Kama ukoma Tz ni kubwa Sana , kuli kiongozi yeyote ndani ya taifa la tz

Sasa angalia mama amepandikiza chuki ndani ya taifa imeisha zidi kidogo ya mwendazake KWa mda mfupi Sana, mlio karibu nae mwambie ukweli msifiche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…