Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

Huo utakuwa ni mtazamo wenye inferiority complexity ndani yake!

Sizani.

Je kama anafanya hivyo kumuenzi JPM ambaye alikuwa ni Supreme Leader mwenye msimamo huo huo na kuwaambia wananchi kuwa hayo makitu hayafai?
Not inferiority complex ni vile anatingisha kiberiti anaweza kumuenzi JPM vyovyote na sio kupotosha umma kwa kusoma ma conspiracies theories za watu wasio wataalamu.
So hyo ni direct insubordination kwenye kazi na mwenyekiti wa chama
 
Mojawapo ya namna ya kumuenzi JPM ni pamoja na anachokisimamia Rev. Gwajima sababu JPM aliongea hadharani kuwa hayo makitu hayafai.

Sasa gafla anakuja mwingine anasema yanafaa,
Je tumwamini na kushika la yupi? Yule au huyu? Na kwanini ?

Tunahitaji maelezo ya kina yatakayo ondoa shaka zote na siyo kauli za jumla jumla tu!
 
Sasa serikali imfanye nini?

Gwajima ana haki ya kuwa mpumbavu.

Serikali ipo sahihi kumwacha aendelee na upumbavu wake.
wapumbavu wale waliokua wakihubiri nyungu mara ghafla wamebadilika ndio maan mwananchi wa kawaida ansahindwa kuwaelewa
 
Labda serikali inakubaliana na Gwajima na imekubali chanjo za korona kwa shingo upande tuu ili tuendelee kupewa misaada na mikopo? Tena huyo Gwajima akiweza kuwadanganya wengi waikatae chanjo basi atakuwa ameipunguzia serikali mzigo wa kununua chanjo nyingi.
 
Njaa mbaya sana. Leo Dr Molel anaichambua Johnson & Johnson kama katengeneza yeye. Dah!!
Magu angerudi leo asingeamini macho na masikio yake walahi!!!
Watu wanafiki sana sema kwakua tu baadhi ya watu upepo umevuma sawasawa na mapenzi yao ndio mana wanaamini.
 
Mojawapo ya namna ya kumuenzi JPM ni pamoja na anachokisimamia Rev. Gwajima sababu JPM aliongea hadharani kuwa hayo makitu hayafai.

Sasa gafla anakuja mwingine anasema yanafaa,
Je tumwamini na kushika la yupi? Yule au huyu? Na kwanini ?

Tunahitaji maelezo ya kina yatakayo ondoa shaka zote na siyo kauli za jumla jumla tu!
Tofauti ni kwamba Mama Samia aliunda kamati ya wataalam ambayo ilikuja na mapendekezo wakati Magufuli alikuwa anaongea kwa hisia zake binafsi tu bila kuwatumia wataalam.
 
Tofauti ni kwamba Mama Samia aliunda kamati ya wataalam ambayo ilikuja na mapendekezo walati Magufuli alikuwa anaongea kwa hisia zake binafsi tu bila kuwatumia wataalam.

Kuna mengi ya kujiuliza kwenye hayo!
 
Chanjo ya ndui na chanjo ya corona inatofauti gani wakuu? Chanjo ya ndui mbona haikupigiwa kelele wakati nayo ni chanjo!
 
Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali inamuogopa na haina hata ubavu wa kupa onyo.
View attachment 1885582View attachment 1885583
Hivi huko Ufufuo wa Misukule na Uzima hawana Ibada nyingine zaidi ya Covid 19 na Chanjo ? Mimi najua Kanisani ni Mahali pa kwenda kuambiwa ubaya wa Dhambi na kujiandaa Kwa Maisha ya Mbinguni.

sasahivi tuna wizara mbili zinazotoa matamko public juu ya chanjo,

wizara ya Afya na wizara ya ufufuo wa misukule na uzima ila mpaka sasa wizara ya ufufuo wa misukule ndio inanguvu sana
Heee...sasa kwan hapo kamtukana kiongozi yyte? Yy katoa msimamo wake kuhusu janjo na hajamtusi mtu..ww unawashwaa na pilipil gani ndugu? Unataka mamlaka zimfunge kwa kusema kuhusu chanjo? Hv watu wengine wanashida gan kwenye ubongo? Yaan unataka sote tuwe makondoo na manyumbu kama ww na familia yako? Wacha watu wakosoe waseme..ww kama hukubaliani nao tulia co uwawajibishe kisa una mamlaka ya kufanya hivyoo.
Hizi ni zile tabia za kujifanya miungu watu kwamba ukisema baas wataka wotee wafuatee..nyooo...
Ninamashaka na ubongo wako kwanza.
 
Wakuu mbna Bagonza akiongea kupondea misimamo ya serikali huwa tunashangilia , Why Gwajima iwe nongwa ?? wanaopenda kudungwa Syringe waende , labda wafanye kuwa lazima la sivyo hawapati mtu...!! Mapokezi ya Gwajima kitaa ni next level
Labda ile misukule anayofufua
 
Chanjo ya ndui na chanjo ya corona inatofauti gani wakuu? Chanjo ya ndui mbona haikupigiwa kelele wakati nayo ni chanjo!
Na bado zinatumika mtoto anazaliwa tu hajatoka hospital lazima apigwe begani ndo atoke, na watu wanaiamini kama nini, na ni ya wamarekani hao hao.....gwajima anabwabwaja bila utafiti wa kisayansi na misukule nayo anayoongoza inamwamini sa unashindwa kuelewa, dawa zooote zinazotumika zimetoka uko uko, mtu anatumia ARV lakini anaogopa chanjo ya covid kama kukuua si wangeshaua kupitia dawa zote tunazotumia
 
Ndugu zangu pamoja na rashid kwanini mnakuwa wepesi kusahau,Ndungulile alitamka kuwa kujifukiza hakutibu corona akatumbuliwa,Binti mrembo mtaalam aliyebobea kwa maabara ya taifa kwa ajili ya kupima na kusema ukweli akatumbuliwa,Hospital zote wanaujua ukweli kuwa uviko haukuondoshwa kwa maombi mwezi wa saba mwaka jana nilikuwa na tatizo la kiafya nikafikishwa hospital kubwa kanda ya ziwa kitengo cha dharula nilishuhudia watu zaidi ya watatu wako kwa mashine za kupumulia na wawili wako na mitungi ya oxygen huku tumeshatangaziwa tangu mwezi wa tano kuwa mdudu tumemshinda(niliuliza na kupata confirmation kuwa ni uviko).Samia alieleza wazi kuwa wimbi la kwanza lilitupiga na la pili na sasa la tatu.Rashid alisema anaweza omba apewe kibali cha kuwaombea mbona mpaka leo hajaomba kibali? Je mnakumbuka bunge la ulaya lilihoji kwa nini tz imepewa pesa kwa ajili ya uviko wakati mwendazake keshatamka uviko tz hakuna? Be smart
 
Gwajima afahamu kuwa namba 666 ni pamoja na yeye mana hiyo ni namba ya siri au namba ya Bandia kwa watawala na sio Shetani . Hiyo namba ilitumika zamani kuwataja watawala waliokua wamejikweza na kujiona ni miungu.
Shetani anashirikiana nao tu ili kumwasi Mungu wa Kweli.

Serikali zote duniani zinaongozwa kwa namba hiyo kama jina tu la siri kama watu wanavyosema Meko au Mwendazake kwa hofu ya kumtaja mtu jina .
Gwajima anaona kuchanja ni hatari kuliko uzinzi, ushoga, utapeli, uchoyo, rushwa, kushitaki watu kwa uongo, kuua watu kwa kuwauzia mafuta ya upako, wana ndoa kuuana, kutupa watoto, kupora watu formu za kugombea na kuwakata mapanga, kubadili matokeo ya kura kwa mitutu ya bunduki.
Gwajima anaona kuchanjwa ni dhambi kuliko kumtanga mtu aliyeshindwa kwenye uchaguzi na kumdhulumu aliyeshinda?
Bila shaka Gwajima ameamua kuwa kama Kibwetere.

Serikali ichukue hatua dhidi ya huyo mtu anayetumia dini yake binafsi kuangamiza watu wasio na maarifa.

Yesu alifahamu kuwa Kodi ni ya namba 666 lakini hakuwaiataza watu kulipa .
Kwa Mcha Mungu hata akichanja hakuna tatizo mana kinuingiacho mtu hakiwezi kumtia mtu unajisi.
Na pia hata wakiwapa kitu cha kufisha hakiwezi kuwadhuru wana wa Mungu.
 
Ndugu zangu pamoja na rashid kwanini mnakuwa wepesi kusahau,Ndungulile alitamka kuwa kujifukiza hakutibu corona akatumbuliwa,Binti mrembo mtaalam aliyebobea kwa maabara ya taifa kwa ajili ya kupima na kusema ukweli akatumbuliwa,Hospital zote wanaujua ukweli kuwa uviko haukuondoshwa kwa maombi mwezi wa saba mwaka jana nilikuwa na tatizo la kiafya nikafikishwa hospital kubwa kanda ya ziwa kitengo cha dharula nilishuhudia watu zaidi ya watatu wako kwa mashine za kupumulia na wawili wako na mitungi ya oxygen huku tumeshatangaziwa tangu mwezi wa tano kuwa mdudu tumemshinda(niliuliza na kupata confirmation kuwa ni uviko).Samia alieleza wazi kuwa wimbi la kwanza lilitupiga na la pili na sasa la tatu.Rashid alisema anaweza omba apewe kibali cha kuwaombea mbona mpaka leo hajaomba kibali? Je mnakumbuka bunge la ulaya lilihoji kwa nini tz imepewa pesa kwa ajili ya uviko wakati mwendazake keshatamka uviko tz hakuna? Be smart
sifa za kijinga ndio zimelifikisha taifa hapa na kuzaa watu wajinga kama askofu rashidi
 
Hata Magufuli alikuwa akimuogopa Mwamposa.. aliua watu kule Moshi na hakuna alichofanywa hata kuhojiwa kidogo
 
Tanzania hatujawahi kuishinda Corona, Gwajima muongo, Corona ikipoa haina maana ilikwisha, ndio maana inakuja kwa phase na majina mapya kila baada ya muda fulani.

Anaposema miezi sita iliyopita tulikuwa salama ana vipimo? aliwapima waumini wake au kina nani wengine?

Gwajima ni hopless tu, wote wanaomuamini hawajielewi.
uko tayari nikukutanishe nae?
 
Back
Top Bottom