Not inferiority complex ni vile anatingisha kiberiti anaweza kumuenzi JPM vyovyote na sio kupotosha umma kwa kusoma ma conspiracies theories za watu wasio wataalamu.Huo utakuwa ni mtazamo wenye inferiority complexity ndani yake!
Sizani.
Je kama anafanya hivyo kumuenzi JPM ambaye alikuwa ni Supreme Leader mwenye msimamo huo huo na kuwaambia wananchi kuwa hayo makitu hayafai?
Kwa hyo MTU akiwa tofauti na serikali ni mpumbafu?.kumbe na we we ni mpumbafu kwa kuwa tofauti na gwaji boySasa serikali imfanye nini?
Gwajima ana haki ya kuwa mpumbavu.
Serikali ipo sahihi kumwacha aendelee na upumbavu wake.
Not inferiority complex ni vile anatingisha kiberiti anaweza kumuenzi JPM vyovyote na sio kupotosha umma kwa kusoma ma conspiracies theories za watu wasio wataalamu.
So hyo ni direct insubordination kwenye kazi na mwenyekiti wa chama
wapumbavu wale waliokua wakihubiri nyungu mara ghafla wamebadilika ndio maan mwananchi wa kawaida ansahindwa kuwaelewaSasa serikali imfanye nini?
Gwajima ana haki ya kuwa mpumbavu.
Serikali ipo sahihi kumwacha aendelee na upumbavu wake.
Watu wanafiki sana sema kwakua tu baadhi ya watu upepo umevuma sawasawa na mapenzi yao ndio mana wanaamini.Njaa mbaya sana. Leo Dr Molel anaichambua Johnson & Johnson kama katengeneza yeye. Dah!!
Magu angerudi leo asingeamini macho na masikio yake walahi!!!
Tofauti ni kwamba Mama Samia aliunda kamati ya wataalam ambayo ilikuja na mapendekezo wakati Magufuli alikuwa anaongea kwa hisia zake binafsi tu bila kuwatumia wataalam.Mojawapo ya namna ya kumuenzi JPM ni pamoja na anachokisimamia Rev. Gwajima sababu JPM aliongea hadharani kuwa hayo makitu hayafai.
Sasa gafla anakuja mwingine anasema yanafaa,
Je tumwamini na kushika la yupi? Yule au huyu? Na kwanini ?
Tunahitaji maelezo ya kina yatakayo ondoa shaka zote na siyo kauli za jumla jumla tu!
Tofauti ni kwamba Mama Samia aliunda kamati ya wataalam ambayo ilikuja na mapendekezo walati Magufuli alikuwa anaongea kwa hisia zake binafsi tu bila kuwatumia wataalam.
Kuna mengi ya kujiuliza kwenye hayo!
Heee...sasa kwan hapo kamtukana kiongozi yyte? Yy katoa msimamo wake kuhusu janjo na hajamtusi mtu..ww unawashwaa na pilipil gani ndugu? Unataka mamlaka zimfunge kwa kusema kuhusu chanjo? Hv watu wengine wanashida gan kwenye ubongo? Yaan unataka sote tuwe makondoo na manyumbu kama ww na familia yako? Wacha watu wakosoe waseme..ww kama hukubaliani nao tulia co uwawajibishe kisa una mamlaka ya kufanya hivyoo.Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali inamuogopa na haina hata ubavu wa kupa onyo.
View attachment 1885582View attachment 1885583
Hivi huko Ufufuo wa Misukule na Uzima hawana Ibada nyingine zaidi ya Covid 19 na Chanjo ? Mimi najua Kanisani ni Mahali pa kwenda kuambiwa ubaya wa Dhambi na kujiandaa Kwa Maisha ya Mbinguni.
sasahivi tuna wizara mbili zinazotoa matamko public juu ya chanjo,
wizara ya Afya na wizara ya ufufuo wa misukule na uzima ila mpaka sasa wizara ya ufufuo wa misukule ndio inanguvu sana
Labda ile misukule anayofufuaWakuu mbna Bagonza akiongea kupondea misimamo ya serikali huwa tunashangilia , Why Gwajima iwe nongwa ?? wanaopenda kudungwa Syringe waende , labda wafanye kuwa lazima la sivyo hawapati mtu...!! Mapokezi ya Gwajima kitaa ni next level
Na bado zinatumika mtoto anazaliwa tu hajatoka hospital lazima apigwe begani ndo atoke, na watu wanaiamini kama nini, na ni ya wamarekani hao hao.....gwajima anabwabwaja bila utafiti wa kisayansi na misukule nayo anayoongoza inamwamini sa unashindwa kuelewa, dawa zooote zinazotumika zimetoka uko uko, mtu anatumia ARV lakini anaogopa chanjo ya covid kama kukuua si wangeshaua kupitia dawa zote tunazotumiaChanjo ya ndui na chanjo ya corona inatofauti gani wakuu? Chanjo ya ndui mbona haikupigiwa kelele wakati nayo ni chanjo!
sifa za kijinga ndio zimelifikisha taifa hapa na kuzaa watu wajinga kama askofu rashidiNdugu zangu pamoja na rashid kwanini mnakuwa wepesi kusahau,Ndungulile alitamka kuwa kujifukiza hakutibu corona akatumbuliwa,Binti mrembo mtaalam aliyebobea kwa maabara ya taifa kwa ajili ya kupima na kusema ukweli akatumbuliwa,Hospital zote wanaujua ukweli kuwa uviko haukuondoshwa kwa maombi mwezi wa saba mwaka jana nilikuwa na tatizo la kiafya nikafikishwa hospital kubwa kanda ya ziwa kitengo cha dharula nilishuhudia watu zaidi ya watatu wako kwa mashine za kupumulia na wawili wako na mitungi ya oxygen huku tumeshatangaziwa tangu mwezi wa tano kuwa mdudu tumemshinda(niliuliza na kupata confirmation kuwa ni uviko).Samia alieleza wazi kuwa wimbi la kwanza lilitupiga na la pili na sasa la tatu.Rashid alisema anaweza omba apewe kibali cha kuwaombea mbona mpaka leo hajaomba kibali? Je mnakumbuka bunge la ulaya lilihoji kwa nini tz imepewa pesa kwa ajili ya uviko wakati mwendazake keshatamka uviko tz hakuna? Be smart
uko tayari nikukutanishe nae?Tanzania hatujawahi kuishinda Corona, Gwajima muongo, Corona ikipoa haina maana ilikwisha, ndio maana inakuja kwa phase na majina mapya kila baada ya muda fulani.
Anaposema miezi sita iliyopita tulikuwa salama ana vipimo? aliwapima waumini wake au kina nani wengine?
Gwajima ni hopless tu, wote wanaomuamini hawajielewi.