Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.

Fcrqo2EWYAA20qk.jpg
 
Mkuu hebu chukua hiyo 50K kwa kila mwanafuzi zidisha mara idadi ya wanafunzi uone inatofautiana kiasi gani na bei ya V8 moja.
 
Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.View attachment 2357942
Mkuu Nyabukika, asante kwa taarifa hii. Kwa maoni yangu, huu ni ubaguzi!. Tukifuta ada ya mitihani, tufute kwa wote!.
Mode, do the needful, ni boresha sio bolesha!.
P
 
Ingekuwa hivyo Hawa wanaowaita Panya Road wauwaji Wezi tenda ndani ya jiji juu la Dar lenye Polisi wa CCM wasiofanya kazi ila wakisikia maandamano tena yenye kibali wanaojazana barabarani kuzuia!
Hiyo Elimu ungekaa vizuri Hawa vilaza Wezi wasingejuwa Kwa wingi vile.
 
Mkuu Nyabukika, asante kwa taarifa hii. Kwa maoni yangu, huu ni ubaguzi!. Tukifuta ada ya mitihani, tufute kwa wote!.
Mode, do the needful, ni boresha sio bolesha!.
P
Mwanao kafaulu vizuri. Tukampangia akasome bure shule ya serikali. Wewe kwa kuwa una kiburi cha Pesa, unampeleka Feza Boys au Marian's Girls....

Unashindwaje kulipa ada ya 50K?
 
Kwanini watoto wao hawawapeleki huko elimu bure wanajua hakuna ubora, kizuri huwa ni gharama na vya bure vina gharama yake pia vile vile
 
Ukishajua hivyo basi usilalamike kulipa ada ya mtihani.

Umeamua kumpeleka kwenye elimu bora ambayo unajuia inahitaji gharama.... kwanini ulalamike?

Yani ulipe 3m kama ada ya mwaka kwa mwanao, afu uje ulalamike kutoa elfu 50 kama ada ya mtihani???

Like serious?
 
Mwanao kafaulu vizuri. Tukampangia akasome bure shule ya serikali. Wewe kwa kuwa una kiburi cha Pesa, unampeleka Feza Boys au Marian's Girls....
Wanaopeleka katoto wao best schools sino kuonteshea kauri ya pesa, but giving them, the best education that money can buy, kuna wabongo, wanasomesha watoto wao IST, hawafanyi mitihani ya NECTA na wakimaliza ni straight maiuu, baadhi yao pia kupata ada ni kuvutana mashati, sio kwasababu ya kuonyesha jeuri but in giving them the best education money can buy.
Unashindwaje kulipa ada ya 50K?
Hakuna wa kushindwa kulipa 50K, ila kama taifa limeamua kutoa elimu bure, then kwa all public services sa elimu ziwe bure kwa wote, including ada za mitihani na sio kufanya ubaguzi, wale wa elimu bure ndio ada ikafutwa lakini wale wa private schools ada inaendelea!. Why?. HESLB ano maano walianza kutoa mikopo kwa ubaguzi, waliokukuwa wanatoka private schools hawakopeshwi!. Baadae ubaguzi hip ukaondoshwa. Na Necta ubaguzi buy uondoshwe!.
P
 
Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.View attachment 2357942
Sio Samia sema ni maelekezo yaliyomo kwenye ilana ya CCM ya 2020-2025 yenye kurasa 303 msipambe na kumpa utukufu kumbe waliopendekeza mliwatimua ili ninyi muonekane ndio mlianzisha wakatio sio kweli.
 
Mkuu hebu chukua hiyo 50K kwa kila mwanafuzi zidisha mara idadi ya wanafunzi uone inatofautiana kiasi gani na bei ya V8 moja.
Unajua watanzania wanalalamika tu lakini unajua kuna familia hazina uweo wa kutoa ata 20k? mpaka kupelekea mtoto anashindwa kufanya mtihani ? kwaiyo hii inawasaidia sana familia ambazo hazina uwezo na Rais Samia Suluhu lengo lake anawalenga watanzania wenye hali za chini
 
Mkuu Nyabukika, asante kwa taarifa hii. Kwa maoni yangu, huu ni ubaguzi!. Tukifuta ada ya mitihani, tufute kwa wote!.
Mode, do the needful, ni boresha sio bolesha!.
P
Hapana sio ubaguzi serikali inaamini wanaosoma private wanajiweza kiuchumi na hii imewekwa kwaajili ya watoto wanaotoka katika familia zisizo na uwezo kwaiyo hapo hakuna ubaguzi ndio maana private ada zinaendelea na government hakuna ada unaona tofauti hiyo
 
Mwanao kafaulu vizuri. Tukampangia akasome bure shule ya serikali. Wewe kwa kuwa una kiburi cha Pesa, unampeleka Feza Boys au Marian's Girls....

Unashindwaje kulipa ada ya 50K?

Sorry,I think the reason is quality education
 
Wanaopeleka katoto wao best schools sino kuonteshea kauri ya pesa, but giving them, the best education that money can buy, kuna wabongo, wanasomesha watoto wao IST, hawafanyi mitihani ya NECTA na wakimaliza ni straight maiuu, baadhi yao pia kupata ada ni kuvutana mashati, sio kwasababu ya kuonyesha jeuri but in giving them the best education money can buy.

Hakuna wa kushindwa kulipa 50K, ila kama taifa limeamua kutoa elimu bure, then kwa all public services sa elimu ziwe bure kwa wote, including ada za mitihani na sio kufanya ubaguzi, wale wa elimu bure ndio ada ikafutwa lakini wale wa private schools ada inaendelea!. Why?. HESLB ano maano walianza kutoa mikopo kwa ubaguzi, waliokukuwa wanatoka private schools hawakopeshwi!. Baadae ubaguzi hip ukaondoshwa. Na Necta ubaguzi buy uondoshwe!.
P
Sasa unataka ada ifutwe hadi private school are you seleous? na huu sio ubaguzi kwasababu mpaka kumpeleka mtoto private it means pesa ipo kwaiyo lazima upambane tu
 
Ukishajua hivyo basi usilalamike kulipa ada ya mtihani.

Umeamua kumpeleka kwenye elimu bora ambayo unajuia inahitaji gharama.... kwanini ulalamike?

Yani ulipe 3m kama ada ya mwaka kwa mwanao, afu uje ulalamike kutoa elfu 50 kama ada ya mtihani???

Like serious?
Exactly umesema kweli watu wameshazoea kupinga kila kitu na kulalamika lakini lengo la Rais Samia Suluhu ni kuhakikisha wale wasio na uwezo wa kutoa 50k wasishindwe kufanya mtihani
 
Back
Top Bottom