PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimekuelewa mkuu ila la kwetu na la Gaz lipi kubwa
 
mimi sikubalian na yanayofanywa na serikal ila western hawanatena credibility ya kuwaonyeshea mikuno mataifa mengine mfano hapo ujeruman ufarance na usa wanawapiga watu kwa kile kinachoitwa antisemite kuna maprofessor wamefukuzwa wwnafunz wamefukuzwa kwa maandamano ya haki kabisa na amna atakayewachukulia serous kwa swala la haki za binadam
 
Nimekuelewa mkuu ila la kwetu na la Gaz lipi kubwa
Nakupa majibu 5:
1. Yeye ni Mtanzania, lazima ajikite kwenye masuala ya Bongo.

2. Suala la Gaza nalo lilianza kama hivi kwetu Bongo - tone tone mwishowe mambo yakaharibika. Shangazi anajaribu kuziba ufa ambao Gaza watalazimika sasa kuujenga upya ukuta wote. Suala dogo la sasa ni kubwa siku zijazo.

3. Mtikasi wa Gaza tayari una watetezi dunia chungu nzima. Umesikia mgogoro mkubwa wa Trump na uongozi wa chuo kikuu cha Havard?

4. Je, unadhani mambo aliyosema Maria ni madogo kivivyo? Uhai wa mtu mmoja una thamani ndogo kuliko uhai wa watu elfu? Katika hesabu za uhai, mtu mmoja = watu 1000 and vice versa.

5. Mgogoro wetu hapa Tanzania umeshamiri zaidi hivi karibuni sana, na unaonesha unaendelea kushika kasi. Kwa nini tusidhani ni matokeo ya kinachofanyika Gaza? It means ni sehemu ya kile tukionacho Gaza. Hivyo kuki-address ni sawa kabisa na ku-address yatokeayo huko Gaza.
 
Ndio dunia inakuhamia sasa west hawan laa maana hata wao kwwo wanaficha watu wanavunja watu wanaondamana
 
Mkuu, unamiss pwenti muhimu sana.

Shangazi hazungumzi na serikali ya Wazungu tu - anaongea na wapenda-haki wowote dunia nzima.

Kuna watu wema kote duniani, hata ndani ya serikali babe ya Marekani, China na Urusi na Ulaya nzima.

The United States' support for Israel's harsh actions against the Palestinians does not take away it's general role as the champion of human rights and democracy.
 
Ujinga waliokuwa wanaongea wabunge jana bungeni, halafu nikisikiliza na hii presentation nabaki nasikitika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…